Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile iliyofufuliwa na marehemu nayo ilishakufa?Sasa mkuu treni ya kawaida tu kwenda ukanda ule wameua safari zake na wakati ilikuwa ni mkombozi kwa watu wengi wa ukanda ule, itakuwa SGR?
Najiuliza kwann njombe isiunganishwe na SGRHili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Naunga mkono hoja Tanga yote ina wabunge 9 watano kati yao wapo kwenye meza ya maamuzi lakini hawafikirii kabisa kuhusu hilo!Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Kwa hiyo ukiwa unajenga mikoa mwingine , Tanga port na reli kwenda Kilimanjaro una i destroy Kwa makusudi unakuwa unafanya nn ssMradi wowote huenda kwa hatua. Tena haswa miradi inayohitaji fedha nyingi, basi kuna maeneo yanapaswa kuwa na subra.
Eneo la Tanga litaunganishwa na SGR katika harakati za kuutanua mtandao kwenda Kaskazini.
Tanga ina bandari yake, mizigo yake mingi hupitia majini kuifikia.
Hata magari ya mizigo yanayoenda Tanga specifically si mengi. Badala yake yanayotoka na kwenda Arusha na Kilimanjaro.
Tukubaliane kuwa awamu ya kwanza mpaka ya 4, mikoa ya kaskazini (Tanga ikiwemo) inapaswa kusubiri kwanza. Mikoa ambayo ilikuwa na usafiri wa muda mrefu consistently ipokee.
Upo sahihi mkuu labda Reli ya SGR ijengwe kutoka Tanga kwenda mikoa ya Arusha na Kilimanjaro , kipaumbele kwa Tanga bado sana kipaumbele iwe mikoa ya mbali.zaidi ambayo haina bandari na wanategemea ya DarMradi wowote huenda kwa hatua. Tena haswa miradi inayohitaji fedha nyingi, basi kuna maeneo yanapaswa kuwa na subra.
Eneo la Tanga litaunganishwa na SGR katika harakati za kuutanua mtandao kwenda Kaskazini.
Tanga ina bandari yake, mizigo yake mingi hupitia majini kuifikia.
Hata magari ya mizigo yanayoenda Tanga specifically si mengi. Badala yake yanayotoka na kwenda Arusha na Kilimanjaro.
Tukubaliane kuwa awamu ya kwanza mpaka ya 4, mikoa ya kaskazini (Tanga ikiwemo) inapaswa kusubiri kwanza. Mikoa ambayo ilikuwa na usafiri wa muda mrefu consistently ipokee.
Hao mawaziri ni maganga wa kienyeji TuNaunga mkono hoja Tanga yote ina wabunge 9 watano kati yao wapo kwenye meza ya maamuzi lakini hawafikirii kabisa kuhusu hilo!
ningekuwa Rais, hela wanazoiba mafisadi ningezibana wasiibe, ningejengea reli ya SGR toka DSM hadi Tanga na toka Tanga hadi Musoma kupitia kilimanjaro. aliyojenga mjerumani ipo kazi ni ndogo sana, kutandua ya zamani, kuongeza kokoto na mwinuko wa tuta na kutandika SGR basi. sasaivi watu wanaoenda moshi, arusha hadi musoma, wangepiga SGR express chap wameshafika. hapa ndipo mzungu anapotuzidi, hatunaga vipaumbele.Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Kuunganishwa itaunganishwa vizuri tu iko kwenye mpango huo lakini hadi bomba la mafuta kutoka Uganda kwenye Chongoleani likamilike.Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Wanafanya makusudi Tu, kama UK angekuwepo mpaka Leo hii basi Tanga ingekuwa mbali Sana,Tanga kwa kuweka SGR inakuwa ni mjis unaoweza kuchukua watu wengi zaidi badala ya Dar..watu wanaishi Tanga wanafanya kazi Dar. Umbali wa Dar hadi Tanga ni kama maili 200 tu..Kwa SGR Tanga itakuwa kweli ni waja Leo waondoka leo...
Hakuna nchi inayoendelea kwa haraka kwa kusubiri mradi mmoja mmoja mkubwa. Kati ya vitu nilivipenda vya JPM ni uthubutu wa kwenda mzima mzima. Huku SGR, huku Bandari, kule Daraja la Tanzanite huku Daraja la Busisi, ukifungua macho flyover sijui wapi..yaani Bongo kulichangamka.Miradi iliyopo bado kukamilika na bado tunataka kuongeza mingine katika nchi ambayo kila mradi mkubwa mtu mtu atakaehusika katika huo mradi apate 10% yake.
Mradi wa bilioni moja unafanywa kwa bilioni kumi kisa tu waliopo kwenye hiyo connection wapate chao.