nadhani wewe haujanielewa. nilichosema mimi ni kwamba, at least barabara ilishajengwa, wanachotakiwa kufanya ni kufumua kuondoa ile reli ya zamani, halafu mle mle wanapanga reli mpya ya SGR. ni tofauti na kuanza upya kujenga sehemu ambayo reli haijawahi kupita, ni garama sana kwasababu ukikuta mlima unatakiwa kuchimba handaki ukatokee nyuma ya mlima au uchimbe mlima kuweka uwanda sawa. ila kwasababu hiyo ya zamani ipo tayari na train ilikua inapita zamani, ni kazi ndogo zaidi, kuondoa hiyo reli ya zamani isiyo SGR na kujenga mlemle kipimo cha SGR. hakuna mtu amesema wachukue train za SGR watembezee kwenye reli zisizo za SGR. haiwezekani. ndio maana hata TAZARA huwezi kuchukua izo train mpya ukatembezea mle. lazima wajenge upya.