sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Ataendelea kutuzidi sana huyo mzungu wako iwapo kipawambele chako ni kupeleka SGR Tanga.ningekuwa Rais, hela wanazoiba mafisadi ningezibana wasiibe, ningejengea reli ya SGR toka DSM hadi Tanga na toka Tanga hadi Musoma kupitia kilimanjaro. aliyojenga mjerumani ipo kazi ni ndogo sana, kutandua ya zamani, kuongeza kokoto na mwinuko wa tuta na kutandika SGR basi. sasaivi watu wanaoenda moshi, arusha hadi musoma, wangepiga SGR express chap wameshafika. hapa ndipo mzungu anapotuzidi, hatunaga vipaumbele.