Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Tanga shughuli za kiuchumi zilishakwisha miaka ya 80 mwishoni , watu wengi wamefuata fursa nje ya mji ...idadi ya watu haifiki hata laki 4 pale mjini .Kwanini Tanga ni hasara?
Huo ukanda una abiria wa kumwaga ongeza na mombasa!-Dar-tanga-moshi - arusha - namanga - nairobi.
Hiyo hiyo mkuu aliyofufua JPM, wameua safari zake kwa sababu zisizo eleweka.Ile iliyofufuliwa na marehemu nayo ilishakufa?
GHARAMA ya reli mojawapo huwa ni kutengeneza njia mpya, utabomoa miamba, utachimba mahandaki na kupasua milima. hii tayari njia ilishapasuliwa na waingereza/wajerumani, kilichobaki ni kutandika tu mpya yenye kiwango cha SGR wala haiwezi kufikia hata garama ya hii inayotengenezwa sasa. kupanga ni kuchagua.Reli ile ya zamani vipande vingi haifai kutumia train za mwendokasi ya umeme sababu ya kona nyingi kali.a
Wakiweka watatengeneza njia mpya kabisa Kama hii ya SGR ya kati haijtumika ya zamani.
INASIKITISHA WALLAH.Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Hivi umesoma vizuri na kuielewa hoja yangu?GHARAMA ya reli mojawapo huwa ni kutengeneza njia mpya, utabomoa miamba, utachimba mahandaki na kupasua milima. hii tayari njia ilishapasuliwa na waingereza/wajerumani, kilichobaki ni kutandika tu mpya yenye kiwango cha SGR wala haiwezi kufikia hata garama ya hii inayotengenezwa sasa. kupanga ni kuchagua.
Tunajua Palikuwepo na mpango kabambe wa kujenga SGR kutoka Mwambani Port kupitia Moshi na Arusha na kwenda hadi kanda ya ziwa na kupita Rwanda na Burundi hadi Congo DRC.Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
nadhani wewe haujanielewa. nilichosema mimi ni kwamba, at least barabara ilishajengwa, wanachotakiwa kufanya ni kufumua kuondoa ile reli ya zamani, halafu mle mle wanapanga reli mpya ya SGR. ni tofauti na kuanza upya kujenga sehemu ambayo reli haijawahi kupita, ni garama sana kwasababu ukikuta mlima unatakiwa kuchimba handaki ukatokee nyuma ya mlima au uchimbe mlima kuweka uwanda sawa. ila kwasababu hiyo ya zamani ipo tayari na train ilikua inapita zamani, ni kazi ndogo zaidi, kuondoa hiyo reli ya zamani isiyo SGR na kujenga mlemle kipimo cha SGR. hakuna mtu amesema wachukue train za SGR watembezee kwenye reli zisizo za SGR. haiwezekani. ndio maana hata TAZARA huwezi kuchukua izo train mpya ukatembezea mle. lazima wajenge upya.Hivi umesoma vizuri na kuielewa hoja yangu?
Ile rail ya zamani ilikuwa designed kwa train za low speed (mwendokasi mdogo) hivyo ilipitishwa sehemu zingine zina kona kali kwa train za kisasa za speed kubwa inaweza kupata ajari.
Ni vile umeona SGR mpya imejengwa tofauti na ile ya zamani.
Unafikiri walipo sanifu mradi huu mpya hawakuzingatia hizo gharama ulizosema Hadi wakajenga mpya pembeni ya zamani?
Pembeni haimaanishi sehemu zote zimajengwa karibu karibu. Sehemu zingine zimepita mbalimbali Sana . Hiyo ya zamani ilikuwa inakwepa milima na mabonde inapiga Kona nyingi. Siku ukipita kwenye SGR au ya zamani utaona hiyo tofauti kwa macho yako.
Zingatia maneno 'Kona Kali' na 'mwendokasi mkubwa(high speed)'.
Na mizigo Tanga kuna bandari pia.Kwa ajili ya kubeba abiria?
Unaweka reli ya kupita speed train kwenye njia iliyo kwenye kona kali ipite treni kwa speed ya 160KPH?nadhani wewe haujanielewa. nilichosema mimi ni kwamba, at least barabara ilishajengwa, wanachotakiwa kufanya ni kufumua kuondoa ile reli ya zamani, halafu mle mle wanapanga reli mpya ya SGR. ni tofauti na kuanza upya kujenga sehemu ambayo reli haijawahi kupita, ni garama sana kwasababu ukikuta mlima unatakiwa kuchimba handaki ukatokee nyuma ya mlima au uchimbe mlima kuweka uwanda sawa. ila kwasababu hiyo ya zamani ipo tayari na train ilikua inapita zamani, ni kazi ndogo zaidi, kuondoa hiyo reli ya zamani isiyo SGR na kujenga mlemle kipimo cha SGR. hakuna mtu amesema wachukue train za SGR watembezee kwenye reli zisizo za SGR. haiwezekani. ndio maana hata TAZARA huwezi kuchukua izo train mpya ukatembezea mle. lazima wajenge upya.
Swali hilo hilo, tutaliuliza kwa Rufiji, Lindi hadi Mtwara; na kugeuzia Makambako na kule Songea.Miye nafikiria zaidi kwanini watu wanataa kuishi Dar na kufanya kazi Dar? Kwanini wasiishi Tanga na kufanya kazi Dar?
OK nimekupata. mimi sio mwanasayansi, nilikimbia physics hata form four sikufanyia mtihani. Mimi ni proud lawyer. kwahiyo niliwaza kilawyer sio kisayansi. unachoongea naona kina mantiki. thanks.Unaweka reli ya kupita speed train kwenye njia iliyo kwenye kona kali ipite treni kwa speed ya 160KPH?
Hizo njia (tuta) za reli za zamani zina kona kali nyingi zilikwepa hiyo milima na mabonde, pia zimezunguka sana.
Mimi sikubishii gharama bali nakupa sababu za kisayansi.
Kama umesoma physics vizuri hasa advanced physics kwenye mechanics utajua mambo ya banking system and center of gravity.
Forget about Standard Gauge railway maana hiyo inahusu upana zaidi wa rail tracks. Think about speed train.
Hata rail ya TAZARA ni SGR lakini haipiti speed train.
Lengo mojawapo la SGR ni kutumia muda mfupi kusafirisha abiria au mizigo, ndiyo maana wanahitaji ruti (route) iwe fupi na mwendokasi uwe mkubwa kufupisha muda.
Sasa wakitumia tuta la zamani kuweka SGR bado itawalazimu kuendesha train kwa speed ndogo sababu ya zile kona kona kali nyingi za zamani, na pia imezunguka sana kukwepa milima na mabonde hivyo muda wa kusafiri utakuwa mrefu.
Unachotaka kifanyike ni Kama ndege ya abiria ya engine ya mapanga wafunge rocket engine ya hydrogen fuel. Hiyo itafumuka angani na kuharibika.
Jumba lake halikusanifiwa kuhimili speed kali ya rocket engine.
Mzee Baba umetema Cheche ngumu kumeza hiiKenya hawataki kabisa , kusikia kuhusu tanga Port, japo unaweza kuhusi hawana uwezo wa kuzuia.
Lakini jiulize ni kwani barabarani ya holili ilijengwa wakati Arusha kuna uhutaji mkubwa wa Barabaraš.
Viongozi wa TZ wanaonekana ni bogas Kwa Sababu sio wazelendo kwa Nchi Yao.
Sisi tukiongea humu JF wanatuita wapiga Kelele Tu, Kwamba Wao ndio wameshika mpini
Umekula unyoya mwanawaneOK nimekupata. mimi sio mwanasayansi, nilikimbia physics hata form four sikufanyia mtihani. Mimi ni proud lawyer. kwahiyo niliwaza kilawyer sio kisayansi. unachoongea naona kina mantiki. thanks.
Ohima mkoani TangaIvi ule mradi wa bomba la mafuta umefikia wapi?
Kusini ipi unayoizungumzia?Kwanini hakuna kabisa mpango wa kupeleka reli hata ile ya zamani kusini.
Swali lako halin uhalisia, Kwa mfano Johannesburg na Pretoria ziko jimbo moja la Gauteng Province, umbali wa Johannesburg kwenda Pretoria ni kama Dar kwenda Mlandizi Chalinze mbali, wanatumia metro train za umeme, lakini nimeona ni changamoto mtu wa Jo'burg kufanyakazi Pretoria na kurudi Jo'burg and likewise.Miye nafikiria zaidi kwanini watu wanataa kuishi Dar na kufanya kazi Dar? Kwanini wasiishi Tanga na kufanya kazi Dar?
Unaweka reli ya kupita speed train kwenye njia iliyo kwenye kona kali ipite treni kwa speed ya 160KPH?
Hizo njia (tuta) za reli za zamani zina kona kali nyingi zilikwepa hiyo milima na mabonde, pia zimezunguka sana.
Mimi sikubishii gharama bali nakupa sababu za kisayansi.
Kama umesoma physics vizuri hasa advanced physics kwenye mechanics utajua mambo ya banking system and center of gravity.
Forget about Standard Gauge railway maana hiyo inahusu upana zaidi wa rail tracks. Think about speed train.
Hata rail ya TAZARA ni SGR lakini haipiti speed train.
Lengo mojawapo la SGR ni kutumia muda mfupi kusafirisha abiria au mizigo, ndiyo maana wanahitaji ruti (route) iwe fupi na mwendokasi uwe mkubwa kufupisha muda.
Sasa wakitumia tuta la zamani kuweka SGR bado itawalazimu kuendesha train kwa speed ndogo sababu ya zile kona kona kali nyingi za zamani, na pia imezunguka sana kukwepa milima na mabonde hivyo muda wa kusafiri utakuwa mrefu.
Unachotaka kifanyike ni Kama ndege ya abiria ya engine ya mapanga wafunge rocket engine ya hydrogen fuel. Hiyo itafumuka angani na kuharibika.
Jumba lake halikusanifiwa kuhimili speed kali ya rocket engine.