Swali la Kimkakati: Kwanini Tanga Isiunganishwe na SGR?

Ataendelea kutuzidi sana huyo mzungu wako iwapo kipawambele chako ni kupeleka SGR Tanga.
 
Iwepo kwa ajiri ya kusafirisha warembo
 
Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Naunga mkono hoja, tena Tanga port should have been a free port, lakini masikini sisi, hatuoni fursa!.

The SGR power is container freight soko letu kuu ni zile land locked countries zilizo tuzunguka, ili SGR I operate kwa faida, lazima iwe na feeder ya mzigo wa kushiba na interlink ya pa ku upeleka. SGR ya Central line, feeder yake ni Dar port na interlink ni Kigali, bila kuunganisha hiki kipande cha SGR Dar- Moro-😀om ni displays only kwenye operations hakimake faida yoyote zaidi ya loss kwasababu hakuna interlink, faida ya SGR itapatikana baada ya kuunga na Rwanda na DRC na tuwe na Bandari ya Bagamoyo kuleta mzigo wa kuishibisha.

Sisi Watanzania kwenye Strategic planning, we are very poor!, we are just too blind to see mbali, we are myopic!. SGR is a Chinese dream and plan, was to go hand in hand with Bagamoyo Port,
Tanga port is not in the initial plan kwasababu tuu ya poor plan and myopia!. Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

Hili la SGR tumelizungumza sana humu,
P.
 
Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Wameanza kati, sasa wa,eingia Kusini na siku za usoni itaika Kaskazini, ikiwemo na Tanga.

SGR siyo kitu cha kujadili tena, mikoa yote itaunganishwa na SGR, ni muda tu haupo nasi. Tushaionja raha yake.
 
Sorry mkuu nje ya mada TAZARA imeshindwa fungua banda lake hapa SABASABA.
Nimesikitika sana

Usisikitike, Watanzania tu wajinga sana, hatuwezi kuendesha chochote bila ya kusimamiwa na wenye akili zinazofanya kazi. Akili zetu zipo kwenye kuiba na kujitapa.

Hii nchi ikianza kuwa na vyombo vinavyopigana na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma bila kufungamana na mhimili wowote wa nchi, tutawafunga asilimia 99 ya wafanyakazi wa serikalini na taaasisi za umma.
 
Wazo lako limenitisha...Sasa hao asilimia 1 watatoka wapi..labda ndio maana tunabebana...
 
Wazo lako limenitisha...Sasa hao asilimia 1 watatoka wapi..labda ndio maana tunabebana...
Wafanyakazi na serikali na mashirika ya umma ni wachache sana ukilinganisha na Watanzania zaidi ya million sitini.

kwanza tunahitaji mfumo tunaokwenda nao kuanzia uhuru mpaka leo tuubadili kabisa tuendane na wakati na tuweze kudhibiti ubadhirifu.

Mama Samia naona kaanza kuelekea kufanya mashirika yote ya serikali na ya "umma" kuwa kweli ya umma kwa kuyataka yajitegemee, yawe na watu "competent" na yawe kwenye soko la mitaji.

Nadhani huo ni mwanzo mzuri kwani serikali itakuwa na hisa kama wana hisa wengine, na nadhani unafahamu mashirika ambayo watu binafsi wana hisa zao yanajiendesha vizuri kuliko yake ya kiserikali kwa asilimia mia.

Asilimia 99 ya wafanyakazi wa serikali ni watu wachache sana.
 
Nimemuangalia mtu mmoja kwenye jambo flani anapwaya,hotuba na maelekezo yamelegea Sana.
 
Majiko ya umeme ni kama anasa Tanzania, zinatumika plate za gas tuz plate za umeme mpaka jiko linamaliza muda wake halijawahi kutumika, gas ikiisha linatumika jiko la mkaa.

Hawa wapuuzi hawafikirii kabisa kushusha bei ya umeme ili umeme utumike kama nishati mbadala wa mkaa na kuni.
 
Hili wazo Tanga hadi Musoma hata Museven alipokua na mpango wa kujenga bandari yake eneo la ndumi huko Tanga hesabu zake ilikuwa kujenga reli Tanga hadi Musoma!
 
Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
1. Tanga population ya watu ni ndogo. Zaeni kwanza kwa kasi kama wasukuma nyie.
2. Business movements kutoka na kuingia Tanga siyo rafiki. Kidoogo biashara ya matunda.
3. Subirini cargo SGR, ya sasa ni ya abiria
 
Nili
Nilimsikia mfanyakazi wao anaelezea wanatengeneza wenyewe mataruma ya zege, akasema ni standard gauge.
 
Jamaa anaongelea swala la utofauti wa mwendokasi inayosafiri treni ya ki SGR ukilinganisha na design ya reli iliyopo katika issues kama za kona kali ambapo kwa fast trains inawezapata changamoto kupita..

Japo swala la breki za treni ya kisasa iendayo kazi hajalizungumzia..
 
Ndio madam.. inaumiza sana nikifikiria mfano baba yangu tangu astaafu anakaribu miaka zaidi ya 15 na hajalipwa hata mia.
 

Barabara ya Tanga kwenda Bagamoyo imechelewa sana! Huu ni mradi wa maana kiuchumi.

Hivi unajua kwamba kutoka Tanga hadi Bagamoyo ni KM 273. Kwa gari itakyokwenda 100 KM /hr ni takribani masaa 3.Njia hii itarahisha sana mawasiliano kati ya Tanga- Pangani hadi Mombasa

Kwasasa Wananchi na Serikali inapoteza pesa nyingi kuzunguka. Dar -Chalinze ni KM 110. Chalinze- Segera KM 173. Segera- Tanga KM 78. Jumla ni KM 358 na kutumia saa 7. Hakuna sababu!
 
Reli hujengwa hasa kwa kusafirisha bidhaa na mizigo mizito na kwa wingi. Abiria ni nyongeza tu
Kama umesoma makampuni yaliyo 'Bid' kuingia ubia na TRC asilimia kubwa ni mizigo.
Concept yako kwamba reli ni kwa ajili ya abiria haina mashiko! na si kweli

Pili, sijui una umri gani, nikufahimishe kuwa miaka ya 70/80/hadi 90 kulikuwa na Treni ya Dar-es-slaam- Tanga-Moshi KILA SIKU saa 10 jioni na kufika asubuhi. Usafiri ulirahisisha sana biashara lakini pia ulilinda Barabara.
Ni usafiri uliotoa nafuu kwa abiria na mizigo.

Reli hii ya MGR ukiwapa wawekezaji utashangaa na macho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…