Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

Wabongo mawazo ya kishoga yanawasumbua sana.

Lubricant inatumika hata kwenye uke vizuri tu, kuna wanawake hawatengenezi utelezi wa kutosha hata ufanye nini.

Bila lubricant utachofanya ni ubakaji na kumsababishia maumivu. Hao wanawake zenu hawawambii tu mtumie lubricant kwa sababu ya mawazo yenu machafu, ukiambiwa tutumie lubricant basi wewe akili zako zinakwambia leo anataka kukupa tigo.

Hivyo slowslow apingwe kwa hoja na sio kwa kukutwa na KY gheto.
 
Kwani mate hayasaidii kulainisha? Kuna wanawake hawana mate pia?
 
Samia kafanya vizuri kumuondoa pale CCM, ni hatari sana kwa ustawi, nadhani hii ndio sababu ya kumuondoa katika nafasi ya uenezi CCM
 
Tumia mate
 
Siasa zinapokwenda personal inageuka kero kwa wanachama na wapenzi wa vyama wanaojitambua, haya mambo ya barabarani vyema yaachwe huko huko.
Mbona ni ukurasa wake personal anaye mfollow ndio ana matatizo
 
so mke wa polepole hana utelezi hadi watumie ky if i want to catch you
 
wewe ndio una mawazo hayo mkuu
SUGU kauliza ile KY ya nn kama sio muhuni na yeye maana wahuni wenzake wanaulizia matumizi yake
KIMAADILI kidini na KIUTANZANIA kwa ujumla kama hujaoa halafu una KY chumbani kwa ajili ya kurahinisha UKE za WANAWAKE wewe ni MUHUNI unazini ni UHUNI huo
 
Baelezee...baelezeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…