MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Ulishawahi kuuliza matumizi yake hapo dukani au na wewe ndio una akili za jumla jumla kama za huyo Sugu.Mkuu unataka kuniambia kila anayejua kazi ya pedi anatumia pedi?
Wewe KY huzionagi maduka ya madawa lile eneo jirani na wanapoweka condomu?