mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kashfa kama hizo huwa zinatumika kama propaganda ya kumdhalilisha MTU ambaye huwa anaonekana kama tishio kwa upande ule unaopambana na huyo victim au huwa ni mbinu ya kuhamisha magoli ili watu wasijadili kitu ambacho ni sensitive. Hii mbinu ni ya tangu kitambo na huwa wanafanikiwa sana kuziteka akili za wengi maana watu wengi ni Hamnazo !! Nchi hii bado sanaaa !! Uzwazwa umetamalaki !!Hahahaa