Sugu naye ni Mjinga tu
Unajua mpaka nawashangaa
K-Y ni water based kilainishi ambacho kazi yake nikutumika wakati wa Tendo.
Wanaume wengine wanatumia kupigia punyeto.
Kuna wanawake kwasababu za kihomoni, UKE wao nimkavu, hata umwandae vipi yeye nimkavu, wanawake hawa huchubuka kirahisi na hawafurahii tendo ,lkn pia nihatari kwa mwanaume.
Watu wa aina hiyo, Tunawashauri watumie K-Y Jelly..
Sio tu mpaka uwe na shida hizo, hata km hauna, kwa usalama Zaidi ,na ukizingatia matumizi ya kondom, kondom inawah kuisha mafuta, ivo kutumia KY ni chaguo sahihi.
KWA UPINZANI WA KIPUUZI NAMNA HIYO. UPINZANI, USAHAU KUBEBA NCHI.!!.