Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

KY na upinzani kuna uhusiano gani? Halafu nchi inabebwaje? Kwani ni mzigo?
 
Acha kumjibia, mwache ajibu. Halafu ukikuta demu hata baada ya foreplay/romance bado kipochi manyoya kinagoma kutema maji maji ya bamia mpaka utumie lubricant kama unabadilisha CV joints za kwenye gari basi jua anaumwa huyoo au agongwa kwa kulazimishwa/kubakwa.
 
Siasa zinapokwenda personal inageuka kero kwa wanachama na wapenzi wa vyama wanaojitambua, haya mambo ya barabarani vyema yaachwe huko huko.
Hapana, mwanasiasa lazima uhubiri kile unachotenda na unachokiamini. Huwezi kuhubiri mambo ya ushoga ilhali ndani inaonekana vitendea kazi vya ushoga. Huwezi kuhubiri uadilifu wakati unapora na kutembea na wake za watu na kukwepa kodi. Nyerere aliwahi kusema ukiwa na tuhuma tuu basi inatosha kuchukuliwa hatua kali au kuwekwa pembeni.
 
Vp na wewe unayo hiyo mafuta nini??
 
KY mimi uwa napaka kwenye kidole changu ili pete iingie kiurahisi kwenye kidole.
sasa nauliza swali sisi tunaotumia KY matumizi kama haya niliyoelezea hapo juu wote ni wahun?
 
Samia kafanya vizuri kumuondoa pale CCM, ni hatari sana kwa ustawi, nadhani hii ndio sababu ya kumuondoa katika nafasi ya uenezi CCM
Akuondolewa na Rais Samia ameondolewa Hayati Magufuli kwa kumteua kuwa Mbunge
 
Tofautisha uhuni binafsi na uhuni wa kukwapua mali za chama


Uhuni binafsi viongozi wengi wa serikali na chama wanao na wanachama wanao


Kinachopigiwa kelele ni wahuni wakwapua Mali za chama ambapo ripoti imewaanisha vizuri bila chenga
 
Wahuni wakiona KY wanawaza mik..nd.. tu.

Huyo Sugu alikuwa anatuhumiwa na "Baby Mama" wake Faiza kuwa alikuwa anataka kumla jicho.

Sasa naelewa.

Hata uki-google matumizi yake hilo lenu halipo.
 
Tofautisha uhuni binafsi na uhuni wa kukwapua mali za chama


Uhuni binafsi viongozi wengi wa serikali na chama wanao na wanachama wanao


Kinachopigiwa kelele ni wahuni wakwapua Mali za chama ambapo ripoti imewaanisha vizuri bila chenga
Sisi hatuna muda wa kutofautisha, tunabeba full package
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…