Badala mtuambie ni WAHUNI gani walishiriki kuvunja nyumba ya Polepole.
Sugu mbunge mhuni uliyebahatika kuingia Bungeni kupitia Jazba za wamachinga.
Inawezekana hayo mafuta yakawa sehemu ya wahuni wenzako kubomoa na kuwaweka pale kisha kupiga picha ili kumchafua
Mheshimiwa Polepole.
@Josephmbilinyi
Yule!
Mama wa mtoto uliyemgonga kwa gari lako2016,kwenye Zebra Cross na kusababisha kifo chake jijini Mbeya.
Mlimalizanaje??