Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

Mawazo tunduizi...


Congratulations comrade[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Unailaumu KATIBA?!![emoji44][emoji44]

Umesahau kipengele cha PRESIDENTIAL DECREE?!!
 
Uweledi unaanzia kwa kiongozi mkuu. Wakati mwingine tunawalaumu subordinates lakini kumbe tatizo sio wao bali ni kiongozi mkuu.
Hii turnover ya utumbuaji kutakuwa kuna shida kwenye mamlaka.
Anyway, boss hanuniwi.
 
Hivyo madogo wamezingua!, yule dogo wa BK yeye kosa lake ni nini?.
P
Dogo wa BK kakosa uzoefu na pia alijisahau.

Na mwisho hakupaswa kufanya kampeni sokoni saa mbili usiku.

Hawa mawaziri wadogo waweza kuonekana smart kwenye kuongea majukwaani lakini pale kwenye kufanya maamuzi fulani hutakiwa kuwa smarter.

Kuna tofauti kati ya smart na smarter.

Mwangalie Ridhiwani ni mfano mmojawapo, ingawa nae ni mpigaji.
 
Tukisema hawana uwezo tutakuwa tunakosea maana hatuambiwi kwa nini wanatumbuliwa. Ingekuwa vyema kama kutumbuliwa kungeenda pamoja na sababu ili tuepukane na idle speculations na wenzao wapate funzo la mambo gani hayakubaliki.

Amandla...
 
Kuna media Kenya inasema January aliunga mkono generation Z ya Kenya..labda ndo sababu Hadi dogo wa BK pia kapigwa chini?
 
Kuna media Kenya inasema January aliunga mkono generation Z ya Kenya..labda ndo sababu Hadi dogo wa BK pia kapigwa chini?
Yawezekana kuwa ni moja ya sababu ila balozi Kombo ni diplomat na ana MA ya IL na Diplomacy..

Pia Kombo tayari ana uzoefu kama balozi.

Huenda raisi kaona Kombo ni afaa zaidi ya Makamba ambae pamoja na kwamba JK alimweka mambo ya Nje aliporudi TZ bado hana sifa ya kuitwa Diplomat na is too ambitious..

BK bado ni mgeni kwenye game na apaswa kujifunza kuwa ukipata nafasi kama ya Mambo ya Nje macho yote hukuangalia weye na mienendo yako, hivyo atajifunza.
 
Tukisema hawana uwezo tutakuwa tunakosea maana hatuambiwi kwa nini wanatumbuliwa. Ingekuwa vyema kama kutumbuliwa kungeenda pamoja na sababu ili tuepukane na idle speculations na wenzao wapate funzo la mambo gani hayakubaliki.

Amandla...
Naunga mkono hoja
Hili la kila siku kuteua na baada ya siku mbili tatu kutengua au kutumbua, kwanza nilisema ni kosa, ila nikaitetea mamlaka ya uteuzi Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

Kisha nikauliza humu Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?

Mimi nimeshauri wakati wa kuteua, sii lazima mamlaka ya uteuzi kutoa sababu, lakini kwenye kutengua na kutumbua, iwe ni lazima kutoa sababu ili hayo makosa yaliyopelekea kutumbuliwa kwao, yatumike kama shamba darasa kwa wengine hivyo kwanza nilishauri Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

Kisha nikapongeza Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…