Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mawazo tunduizi...Ni nadra sana kwa mtu aliyetembelea mbeleko ya baba yake maisha yake yote kuwa na uwezo.
Wapo wachache wenye uwezo lakini wengi wao ikiwa ni pamoja na hao watumbuliwa hawana uwezo!
Moja ya mambo yaliyomfanya JPM kuwa waziri mzuri ni kutokuwa na tamaa, akili yake yote ilikuwa kwenye kuifanya kazi yake hiyo kwa moyo wote na akili zote.
Sasa hawa vijana wa mbeleko wanatumia asilimia kubwa ya muda wa kazi kupanga mipango ya kufanikisha matamanio yao ya mbele na kusuka mitandao yao.
Ni vema amewatoa, waende wakafanye hayo kwa uhuru wao, hiyo kazi ya uwaziri ifanywe na wanaotaka kufanya kazi.
Congratulations comrade[emoji2956][emoji2956][emoji2956]