Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Swali ndo Hilo jamaa:

Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ

1589368655978.jpg
 
Tumbo la kuhara lilinikaba sana leo kazini, nilipoingia Toilet sikuangalia vizuri pale nilipoweka simu.... Kumbe palikuwa na hii chupi? Ooohhwkey baby! Sorry sana maana nilipomaliza kujisaidia nilichukua simu na kuweka mfukoni, kumbe niliweka na hii chupi. Sorry sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Doh hata kama ni Mimi nakupigia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Excuse gan hio cheap namna hii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Najiangusha chini na kujifanya nimezimia, halafu yeye ataninyanyua huku akiwa na majonzi...baada ya dakika 3 najifanya kuzinduka,na kuchapa mzigo kwa mbwa staili.
Huyu mwanamke WA Uganda au Tanzania?! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom