Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

Kwa jinsi alivosimama huyo mwanamke kama jini mkata kamba.

Namwambia ni RAMLI CHONGANISHI akinielewa poa asiponielewa basi.
Swali ndo Hilo jamaa:

Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

View attachment 1449461

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😆😆😆😆😆 mimi kama mimi nasema nimemnunulia nilitaka nimpatie zawadi ndio hivyo bahati mbaya ameiyona
 
Mie iliwahi kunitokea moja hiyo nilikuwa naishi mikoa tofauti na wife (miaka ya nyuma sana) sasa siku kaja kumbe kuna kipande cha ganda la condom liliangukia uvunguni na mie wala sikuwahi kufanya usafi. So wife alivyokuja akawa anafanya usafi na kubadilisha mkao wa kitanda akakutana na hiyo kitu

Bahati nzuri kuna kijana mmoja alikuja na kukaa kwangu kama week hivi (alikuwa ameshasepa) na chumbani kwake hakukuwa na kitanda kulikuwa na godoro tu (Enzi hizo naanza Maisha). Basi nikamuuzia kesi kuwa ndio aliingiza demu room kwangu.
 
inakujaga kwenye mfuko mbona wewe umeweka kwenye barakoa ya koti lako?!🙄
sasa si surprise sikutaka aiyone ndio maana nimeweka humo namwambia nilikuwa nataka uikute kitandani ukitoka kuoga 😆 😆 😆 😆 😆 😆 alafu hizi mbinu za kivita we mwanamke unazitakia nn hapa tutashindwa jitetea tukisema zote hapa.
 
Mie iliwahi kunitokea moja hiyo nilikuwa naishi mikoa tofauti na wife (miaka ya nyuma sana) sasa siku kaja kumbe kuna kipande cha ganda la condom liliangukia uvunguni na mie wala sikuwahi kufanya usafi. So wife alivyokuja akawa anafanya usafi na kubadilisha mkao wa kitanda akakutana na hiyo kitu

Bahati nzuri kuna kijana mmoja alikuja na kukaa kwangu kama week hivi (alikuwa ameshasepa) na chumbani kwake hakukuwa na kitanda kulikuwa na godoro tu (Enzi hizo naanza Maisha). Basi nikamuuzia kesi kuwa ndio aliingiza demu room kwangu.
kumbe jambazi ni wewe, du! 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♀️
 
sasa si surprise sikutaka aiyone ndio maana nimeweka humo namwambia nilikuwa nataka uikute kitandani ukitoka kuoga 😆 😆 😆 😆 😆 😆 alafu hizi mbinu za kivita we mwanamke unazitakia nn hapa tutashindwa jitetea tukisema zote hapa.
badala ya kutumia upendo unatumia ukali kwa mwanamke
sasa ukiweka ukali kwa mwanamke utaisoma namba na kuamsha majirani na vikao vya familia! 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
Back
Top Bottom