prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
[emoji23][emoji23][emoji23] eti ya mtumbaNimekununulia ya mtumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] eti ya mtumbaNimekununulia ya mtumba
We jamaa wewe unatokea Mkoa au hapa kwetu Dar!?😂😂😂Nilikununuliaga siku nyingi nikasahau kukupatia. Hata hivyo baadae nilikuja kugundua ni (kubwa/ ndogo) kwako nikaishiwa hamu nakupelekea kusahau kabisa....nadhani jamaa alinichomekea pale dukani
(Kama ni ndogo au kubwa kwake basi ndio vzr zaidi...ni kwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
We Cliff utajibuje?![emoji23][emoji23][emoji23] eti ya mtumba
Kaka wewe NI WA Bush au hapa kwetu Dar?!😂😂Mbona kitu kidogo sana hicho.Namwambia jiwe kaniambia nikaipime kama ina corona.
Buza kwa mpalange..ila siku hizi nimehamia uswissKaka wewe NI WA Bush au hapa kwetu Dar?!😂😂
Usiseme Buza sema Airport kwa NyumaBuza kwa mpalange..ila siku hizi nimehamia uswiss
Mimi sijui imefikaje mfukon , hata Mimi nashangaa mke wangu, na unafanya nijiulize sasa maswali mengi , niwewe umefikia hatua ya kunidhalilisha kiasi hiki?? Na lengo lako lilikua nini?. ( lugha ya Ukali yenye ustaharabu ndani yake)Swali ndo Hilo jamaa:
Jaman kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali Tu wajibu hili swali
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 1449461
ndio maana, una maneno ya uongo hata mtoto wa darasa la 3 anajua hapo anadanganywa!Buza kwa mpalange..ila siku hizi nimehamia uswiss
😀😀😀😀😀😀😀Sipeleki tena nguo zangu kufuliwa "Changanyikeni Dry Cleaners" hawako makini ona sasa wanataka kunivunjia ndoa.
Juzi nimekuta barakoa kwenye mfuko wa jeans
Jana nimekuta soksi kwenye uniform ya kazini.
Leo na wewe umekuta chupi ya kike.
Hawa jamaa hawako serious. Nilikuambia tukafulie kule Oysterbay ukabisha ukasema mbali, ona sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
unyanyasaji wa kijinsia, hapa BEIJIN itakuhusu!Siulizi hapo hapo namtia mibao alafu namuuliza kwanini aliweka chupi yake kwenye koti langu na anajifanya kaisahau kwamba ni chupi yake... Iyoo mibao ntakayomtia mpaka atakubali kwamba ni chupi yake
huyo mkeo labda awe amekulia Buza!🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ ila kamani mdada wa bandarini umeisha!Mimi sijui imefikaje mfukon , hata Mimi nashangaa mke wangu, na unafanya nijiulize sasa maswali mengi , niwewe umefikia hatua ya kunidhalilisha kiasi hiki?? Na lengo lako lilikua nini?. ( lugha ya Ukali yenye ustaharabu ndani yake)
Sasa nawewe unavyoniuliza ninani kaiweka unazidi kunichanganya sana, Ngoja nimpigie simu Mshana Jr anisaidie katika hili.
Huku nikuonyesha kuchanganyikiwa , na kujiuliza uliza .
Sent using Jamii Forums mobile app
kiru!Mwanaume hafumaniwi, anakuwa na nyumba ndogo ambayo ukinikuta nayo nahalalisha
hao akina onja onja wakoje? wana maziwa kifuani yaliyomwagika au wana uume?!🙄
Asipotaka kuamini shauri yake.basi asinge niuliza maana atakuwa anamajibu yake.ndio maana, una maneno ya uongo hata mtoto wa darasa la 3 anajua hapo anadanganywa!