Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Swali ndo Hilo jamaa:

Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢🚢

 
Doh hata kama ni Mimi nakupigiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Excuse gan hio cheap namna hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Najiangusha chini na kujifanya nimezimia, halafu yeye ataninyanyua huku akiwa na majonzi...baada ya dakika 3 najifanya kuzinduka,na kuchapa mzigo kwa mbwa staili.
Huyu mwanamke WA Uganda au Tanzania?! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…