Swali ndo Hilo jamaa:
Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 1449461
Swali ndo Hilo jamaa:
Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 1449461
kweli kukamatwa right handed ni kazi sana!Asipotaka kuamini shauri yake.basi asinge niuliza maana atakuwa anamajibu yake.
π π π π π πKwa jinsi alivosimama huyo mwanamke kama jini mkata kamba.
Namwambia ni RAMLI CHONGANISHI akinielewa poa asiponielewa basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vitu huku kwetu buza,tunaviona vya kawaida sana.una weza ukala dada yake,shangazi yake hata mama yake mdogo.kweli kukamatwa right handed ni kazi sana!
buza lazima nije, nirekodi na kipindi changu cha youtube!Hivyo vitu huku kwetu buza,tunaviona vya kawaida sana.una weza ukala dada yake,shangazi yake hata mama yake mdogo.
wamekuwekea chupi? π
Wanawake wa kuwafanyia huu ujinga mnawatoa wapi?Siulizi hapo hapo namtia mibao alafu namuuliza kwanini aliweka chupi yake kwenye koti langu na anajifanya kaisahau kwamba ni chupi yake... Iyoo mibao ntakayomtia mpaka atakubali kwamba ni chupi yake
π π π πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ
inakujaga kwenye mfuko mbona wewe umeweka kwenye barakoa ya koti lako?!ππππππ mimi kama mimi nasema nimemnunulia nilitaka nimpatie zawadi ndio hivyo bahati mbaya ameiyona
Karibu.wewe ni wamkoani au,nitashangaa kama ni wa dar halafu ujawahi kufika buza.buza lazima nije, nirekodi na kipindi changu cha youtube!
sasa si surprise sikutaka aiyone ndio maana nimeweka humo namwambia nilikuwa nataka uikute kitandani ukitoka kuoga π π π π π π alafu hizi mbinu za kivita we mwanamke unazitakia nn hapa tutashindwa jitetea tukisema zote hapa.inakujaga kwenye mfuko mbona wewe umeweka kwenye barakoa ya koti lako?!π
Ndio,wamekuwekea chupi? π
kumbe jambazi ni wewe, du! πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈMie iliwahi kunitokea moja hiyo nilikuwa naishi mikoa tofauti na wife (miaka ya nyuma sana) sasa siku kaja kumbe kuna kipande cha ganda la condom liliangukia uvunguni na mie wala sikuwahi kufanya usafi. So wife alivyokuja akawa anafanya usafi na kubadilisha mkao wa kitanda akakutana na hiyo kitu
Bahati nzuri kuna kijana mmoja alikuja na kukaa kwangu kama week hivi (alikuwa ameshasepa) na chumbani kwake hakukuwa na kitanda kulikuwa na godoro tu (Enzi hizo naanza Maisha). Basi nikamuuzia kesi kuwa ndio aliingiza demu room kwangu.
me ni wa Dar πKaribu.wewe ni wamkoani au,nitashangaa kama ni wa dar halafu ujawahi kufika buza.
badala ya kutumia upendo unatumia ukali kwa mwanamkesasa si surprise sikutaka aiyone ndio maana nimeweka humo namwambia nilikuwa nataka uikute kitandani ukitoka kuoga π π π π π π alafu hizi mbinu za kivita we mwanamke unazitakia nn hapa tutashindwa jitetea tukisema zote hapa.
Na ujawahi kufika buza,au wewe ndio miss buza ila unatuzuga.unatokea dar sehemu gani?me ni wa Dar π