Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Swali ndo Hilo jamaa:
Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali
πΆπΆπΆπΆπΆπΆπΆπΆ
View attachment 1449461
πππππ huyu mkeo labda awe anaishi Buza! πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNdio,
Maana wameona 2020 hawana Chao,
Juz wametaka kuharibu bunge la bajeti, wameshindwa.
Sasa hasira zao,
wanataka kuharibu ndoa yangu.
Wanaona wivu, Mwaka 2020 utaitwa mama mbunge.
Chadema kwa fitna hawajambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nishafika muda sana sio mwaka huu wala mwaka janaNa ujawahi kufika buza,au wewe ndio miss buza ila unatuzuga.unatokea dar sehemu gani?
du! mkeo labda awe anatokea mkoa! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈNimemuekea surprise ya yeye kuikuta
ukali upo wapi sasa hapo ππbadala ya kutumia upendo unatumia ukali kwa mwanamke
sasa ukiweka ukali kwa mwanamke utaisoma namba na kuamsha majirani na vikao vya familia! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Kumbe wewe ndio miss buza mwenyewe..nishafika muda sana sio mwaka huu wala mwaka jana
Noma sana na aliamini kuwa sio mimikumbe jambazi ni wewe, du! πββοΈ πββοΈ πββοΈ πββοΈ
rudia kusoma comment yako ya mwisho utaonaukali upo wapi sasa hapo ππ
sijawahi kuishi buza π π πKumbe wewe ndio miss buza mwenyewe..
doh!Noma sana na aliamini kuwa sio mimi
bora ungerudi na vidonda au ningekuja kukutoa polisi, bila vidonda hakuna mwanamke anaekuelewaKesi ndogo sana hiyo,kwanza najifanya siijui pili najifanya kama kuna vibaka wameniibia hela na leso then wakaniwekea hiyo chupi,najifanya nimepaniki sana kuibiwa hela
ww ndio rudi kusoma hujanielewa ππππrudia kusoma comment yako ya mwisho utaona
aya nitarudi πΆββοΈ πΆββοΈ πΆββοΈww ndio rudi kusoma hujanielewa ππππ
du! mkeo labda awe anatokea mkoa! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
πππ I won't buy this crapMimi sijui imefikaje mfukon , hata Mimi nashangaa mke wangu, na unafanya nijiulize sasa maswali mengi , niwewe umefikia hatua ya kunidhalilisha kiasi hiki?? Na lengo lako lilikua nini?. ( lugha ya Ukali yenye ustaharabu ndani yake)
Sasa nawewe unavyoniuliza ninani kaiweka unazidi kunichanganya sana, Ngoja nimpigie simu Mshana Jr anisaidie katika hili.
Huku nikuonyesha kuchanganyikiwa , na kujiuliza uliza .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiru ππππ ndoroooboeKwani mkoa hakuna akili au akili zipo dsm tu, hapo mi nshasema hutaki basi labda iwe ina utoko kama haina, mwenyewe sielewi wenye wivu wamenimbikia, nasingizia kisa cha fasta niliacha koti sehemu kisa joto, nampanga hata kaunta wa bar au grocery yoyote mpaka ukome na umbea wako ataomba msamaha mpaka uamini namtoa 15 au 20
Ndio binamuπΆπΆπΆ
sawa....Ndio binamuπΆπΆπΆ