Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

Unajidanganya nafsi yako.
 
Kulikuwa kuna muuza vidani, kazi yake kubwa ilikuwa kupita vijumbani, akitumia milango ya uwani, kazi yake haikuwa na ushindani, wateja wake walikuwa ni wandani.

Undani wake haukuishia kwenye vidani, siri yake ilikuwa ya ndani, licha ya vidani aliuza pia shanga za kiunoni, ndiyo maana alipenda milango ya uwani. Ila yake alikuwa ni fataani, hakuuzii mpaka aanze na ufitini, kabla hajamaliza, mwenyewe utamuuliza leo una nini? Naye hukukuuliza unataka za kifuani au za kiunoni?

Khaled alisema:

“Like a compass needle that points north, a man's accusing finger always finds a woman. Always.”
― Khaled Hosseini.
 
Finally...akiguswa Padri Slaa Tu lazima ujitokeze....
Akipigwa risasi Lissu ...kiimya..
Serikali ikisema katiba mpya sio kipaumbele kimya..
Lakini akiguswa Dr Slaa...Padri na katibu mstaafu wa Tec...lazima utasema chochote...
 
Finally...akiguswa Padri Slaa Tu lazima ujitokeze....
Akipigwa risasi Lissu ...kiimya..
Serikali ikisema katiba mpya sio kipaumbele kimya..
Lakini akiguswa Dr Slaa...Padri na katibu mstaafu wa Tec...lazima utasema chochote...
Hebu ni-pm Kama wamjua kwa jina halisi
 
Wakati ule Mzee wa Upako Askofu Lusekelo alisema hivi mkimfunga Mbowe kwa tuhuma za Ugaidi ni mtanzania gani mjinga atawaimini? Na kama mkimwachia mtasema mlimkamata kwa kosa gani?

Akamalizia kusema Kama kweli; kweli kabisa Mbowe ni Gaidi basi afungwe.
Mimi pia jibu ninalo.
 
Wauza nchi wanawadanganya wenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…