Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

Mtaongea lugha zote kkenge nyie wavuruga amani ya nchi
 
Mnajidanganya danganya bure.Angalieni mtadanganyika.
 
Unajuwa alama za kunukuu? (Quotation marks)?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wewe nawe unajichetua bila ya sababu.

Hayo maneno ya Kiingereza uliyoyawekea fungua na funga semi hayana Kiswahili chake?

Au kunukuu kumekuwekea kuta za kuzuia kutumia Kiswahili?

Zaidi ya yote mimi sikusoma.
 
waliokuwa WANASIMAMA majukwaani na kutuhakikishia IMEUZWA, Sasa wamegeuka. Toka jana nimeanza kuwasikia wakiseme wanataka waelezwe UKWELI sababu "WANASIKIA" imeuzwa mara imebinafsishwa mara imekodishwa. Yaani sasa hanajidai hawana uhakika na walichokuwa wakiwaaminisha wananchi ktk mikutano yao.
 
Wakishindwa hoja hukimbilia "Mwarabu" "udini" "mdini" "mswahili" "mzanzibari" "mpemba".

Wasikusumbuwe, ndiyo upeo wao ulipoishia.
Waliokamatwa...

Wewe ndiyo unajulikana humu kwa udini. Haya mambo ya kujifaragua kuwa wengine ndiyo wana udini, ACHA!!
 
Wewe nawe unajichetua bila ya sababu.

Hayo maneno ya Kiingereza uliyoyawekea fungua na funga semi hayana Kiswahili chake?

Au kunukuu kumekuwekea kuta za kuzuia kutumia Kiswahili?

Zaidi ya yote mimi sikusoma.
Hata maana ya neno unajichetua" siielewi.

Hii "platform" ya jF yenyewe ukiisoma imeandikwa Kingereza. Kama ni wepesi ingewekwa yote kwa Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…