Wewe mzee siku nyingi sijakuona mpaka ikawa nakuulizia.Nilidhani umeenda.Lakini sasa umeibukia bandarini.Sijui kama una uwezo tena wa kuogolea mpaka ufukweni.Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Aisee..Maza sidhani kama kausoma mkataba
Bado yupoyupo sana..Wewe mzee siku nyingi sijakuona mpaka ikawa nakuulizia.Nilidhani umeenda.Lakini sasa umeibukia bandarini.
Tena huyu mleta mada anayejiita Mzee Mwanakijiji ndiyo bomu kabisa, bado ana deni jukwaa la Historia kwa Alama Mohamed Said, walikuwa na kikundi chao wakaahidi wataandika kitabu kupinga kitabu cha Mohamed Said matokea yake mpaka leo hakuna kitabu wala kijarida.Kina wapi. Watu hujidai kuongea kwa "kina" ili waonekane smart kumbe wanafunua maujinga yao. Sema vichwa maji wenzao huwa wanawashika. Ukiona mtu analazimisha "ukina" kama Mpoto na huyu mwanakijiji jua hamna kitu ni utapeli tu.
Udini umekuathiri kwa kiwango kikubwa sana.Tena huyu mleta mada anyejiita Mzee Mwanakijiji ndiyo bomu kabisa, bado ana deni jukwaa la Historia kwa Alama Mohamed Said, walikuwa na kikundi chao wakaahidi wataandika kitabu kupinga kitabu cha Mohamed Said matokea yake mpaka leo hakuna kitabu wala kijarida.
Na hata yeye na Yericko Nyerere walipojidai kuandika waliiba maandiko ya Mohamed Said bila kumnukuu wala kumpa heshima ya "citation".
Tunawajuwa hawa, ni "Islamophobes".
Huyo ni Muislam, Uislam siyo dini ya kigeni, ndiyo dini ambayo kila mmoja wetu anazaliwa nayo. Hata wewe.We jamaa udini unakuharibu ubongo wako.
Dini za wageni hizi ni ukoloni tu achana nazo
Sifahamu kuhusu uislamophobes wao. Lakini ni wazi kuwa Mzee Said ni mwanazuoni wa kweli na huyu Mwanakijiji na Yericko ni wanazuoni feki tu.Tena huyu mleta mada anyejiita Mzee Mwanakijiji ndiyo bomu kabisa, bado ana deni jukwaa la Historia kwa Alama Mohamed Said, walikuwa na kikundi chao wakaahidi wataandika kitabu kupinga kitabu cha Mohamed Said matokea yake mpaka leo hakuna kitabu wala kijarida.
Na hata yeye na Yericko Nyerere walipojidai kuandika waliiba maandiko ya Mohamed Said bila kumnukuu wala kumpa heshima ya "citation".
Tunawajuwa hawa, ni "Islamophobes".
Dini ya waarabu tena wakoreshiHuyo ni Muislam, Uislam siyo dini ya kigeni, ndiyo dini ambayo kila mmoja wetu anazaliwa nayo. Hata wewe.
Umedanganywa ukadanganyika.Dini ya waarabu tena wakoreshi
Unapenda sana kutumia Kiingereza Ili kuficha chuki yako kwa wengine.Tunawajuwa hawa, ni "Islamophobes".
Kitabu cha historia huandikwa kwa ushahidi.Hao.Mohamed Said alipozaliwa alikuta ushahidi nyumbani na familiani kwao.Mwanakijiji watapata wapi vitu hivyo.Wakikosa wakaandika itakuwa ni uzushi.Tena huyu mleta mada anayejiita Mzee Mwanakijiji ndiyo bomu kabisa, bado ana deni jukwaa la Historia kwa Alama Mohamed Said, walikuwa na kikundi chao wakaahidi wataandika kitabu kupinga kitabu cha Mohamed Said matokea yake mpaka leo hakuna kitabu wala kijarida.
Na hata yeye na Yericko Nyerere walipojidai kuandika waliiba maandiko ya Mohamed Said bila kumnukuu wala kumpa heshima ya "citation".
Tunawajuwa hawa, ni "Islamophobes".
Ushaolewa kwa nilichokiandika?Huna hoja.
JiheshimuUlichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Nikitaka kukutag kumbe ushajialika.Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Hatari snAisee..
Hatari na nusuHata angeusoma, hana uwezo wa kuuelewa, yeye anaangalia percent zake tu
Naamini hivyoMaza huenda alipewa maelezo ya mdomo tu kisha akasema sawa kazi iendelee 😂😂