Kuna muda unaongea vitu vyenye akili. Sasa kinachokufanya umshabikie huyu bibi muuaji aliyerithi huu ushenzi ni nini?Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?
Mtu aliyediriki kumshambulia kwa ajili ya kumuua mbunge Tundu Lissu akiwa anahudhuria kikao cha bunge 2017, kweli unamsifia?
Qmmayo 🖕We msukuma tulia dawa ikuingie, enzi za Magufuli uliongea shombo nyingi sana humu, hizi ni zama zingine.
Mkuu 'Nguruvi', nimekuona kule kwingine, nikasita kuweka maoni yangu mepesi kwa hoja ulizoweka. Nikaamua nivute wakati kwanza.EN ni 'insider'' anaijua CCM na alijua nini kinafuata. Alikuwa na habari zote! alikataa makusudi ili kusetiri uso wake siku zijazo!
EN hakutegemea Marafiki, alijifunza kutoka kwa Lowassa, Membe, Ndugai etc. Mahakamani kwa kesi gani? Uhaini!
Hili litakuwa kosa wakilifanya! EN ata spill out the beans. EN ni insider
Naam!
Nasikia eti EN aliitwa kwenye maadili hakwenda labda anakumbuka Horace Kolimba alipotoka kuhojiwa kwa kauli ya CCM imepoteza uelekeo kilichofuata ilikuwa sala ya Wafu
Hivi hili nalo lilikuwa na utata?
tusiokuwa na maslahi binafsi na chama chenu tunaona yuko freshi hana hatiaHiki kizee tangu enzi za Magu, kilifyatukaga akili
Una msongo wa mawazo, ukitukana unajisikia ahueniYaani mwanzoni umeandika uzuri ila hitimisho lako eti "CCM indoke madarakani " ni la kijinga na la kipumbavu! Kwani hivyo vyama vyengine havina migogoro ya ndani? Viongozi wa Chadema wanamsema vizuri Mbowe? Pumbavu tena!
Maana yako ni kwamba Samia hana lawama, anaendeleza tu yaleyale ya MagufuliPumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?
Mtu aliyediriki kumshambulia kwa ajili ya kumuua mbunge Tundu Lissu akiwa anahudhuria kikao cha bunge 2017, kweli unamsifia?
Chama chetu kipi?tusiokuwa na maslahi binafsi na chama chenu tunaona yuko freshi hana hatia
Msongo niutoe wapi? CCM ipo madarakani. Nchi imetulia na amani tele. Konyagi nakunywa. PhD Studies nafanya. Supervisor wangu yupo very active! Bosi wangu kazini yupo poa kabisa! Msongo nautoa wapi?Una msongo wa mawazo, ukitukana unajisikia ahueni
USA baby ulikuwa unatamba sana humu, hadi unachat kisukuma humu, watu wote walioteswa uliwaona kama vile walistahili… ukishawahi kuwa na double standard huna moral authority ya kukemea lolote mwingine akiwa anafanya sasa… fanyweni sana.., twekweniiii…, msiyazuie maendeleo, mwacheni mama alete maendeleo, tulizeni mikeleleQmmayo 🖕
Mbona povu sana kijana!!??Hana fadhila yule mbwa, Kikwete alikosea sana kulea joka. Ana arrogance, hajifunzi kwa kuwa ana uwezo mdogo. Rais Samia alimrudisha nchini na kumpatia ukatibu mkuu wa CCM, ile nafasi ni kubwa kuliko waziri mkuu nchi hii, bado akapewa umakamu wa Rais, hivi alitaka roho ya Samia? Angempatia nini zaidi?
Akafie mbali huko, ni mpumbavu!
Msongo niutoe wapi? CCM ipo madarakani. Nchi imetulia na amani tele. Konyagi nakunywa. PhD Studies nafanya. Supervisor wangu yupo very active! Bosi wangu kazini yupo poa kabisa! Msongo nautoa wapi?
Weka ushahidi…..USA baby ulikuwa unatamba sana humu, hadi unachat kisukuma humu, watu wote walioteswa uliwaona kama vile walistahili… ukishawahi kuwa na double standard huna moral authority ya kukemea lolote mwingine akiwa anafanya sasa… fanyweni sana.., twekweniiii…, msiyazuie maendeleo, mwacheni mama alete maendeleo, tulizeni mikelele
Mpasuko mkuu haupo mbaliWana hofu kuu
Ahahahahaha! Na wewe unayewaombea mabaya kila siku unafikiri umeridhika? Ahahahahaha!!Haya maandiko yako yanathibitisha "msongo mkubwa" ulionao.
Unajua maandishi huongea sana!!?
Naupa huu uwezekano wa sala ya wafu asilimia 99.9EN ni 'insider'' anaijua CCM na alijua nini kinafuata. Alikuwa na habari zote! alikataa makusudi ili kusetiri uso wake siku zijazo!
EN hakutegemea Marafiki, alijifunza kutoka kwa Lowassa, Membe, Ndugai etc. Mahakamani kwa kesi gani? Uhaini!
Hili litakuwa kosa wakilifanya! EN ata spill out the beans. EN ni insider
Naam!
Nasikia eti EN aliitwa kwenye maadili hakwenda labda anakumbuka Horace Kolimba alipotoka kuhojiwa kwa kauli ya CCM imepoteza uelekeo kilichofuata ilikuwa sala ya Wafu