Watakuwa hawana kazi za kufanya.Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Enzi za Magu au Kikwete?Hiki kizee tangu enzi za Magu, kilifyatukaga akili
HapanaKitendo cha kuvuliwa uanachama, kinaweza kuathiri haki zake za ustaafu?
No ni Mabeyo. Yule jamaa basi tu.Chanzo cha huu ujinga ni ujuaji wa Magufuli.
Tanzania tumekuwa nchi ya kijinga sana. Hata Uganda tuliowasaidia wanatucheka.tanzagiza nchi ya kijinga sana, mbona kenya wenzetu makamu anagombana na raisi namaisha yanaendelea? huyu rutoaligombana na uhuru na walikuwa wanarushiana menano na ilifikia uadui kabisa lkn hatukusikia ruto akifanyiwa ushenzi na serikali ya kenya mpaka ruto akaja kugombea uraisi tena against raila alaiyekuw ana sapoti ya uhuru na akashjinda na kutangazwa, ruto naye akawa na bifu na makamu wake mpka akashitakiwa bungeni akaondolewa leo hii gachagua anafanya siasa hakuna kuwekwa kizuizini wala kusumbuliwa na state operatives na anapeleka mashambulizi kwa raisi yote inaruhusiwa nchi kenya.
sisemi kama kenya ni perfect lkn wametuzidi sana ...
ungekua na akili ungesoma ukaelewa, mjinga mmoja weweHIZO NI AKILI ZA PAROKIA TUH ZINAWASUMBUA.
NA BILA SHAKA ALIESIMAMA NYUMA YA MR MACHO MAN NI PAROKIA HILO LIKO WAZI.
MaguEnzi za Magu au Kikwete?
Sifa ya wa Tanzania moja wapo ni u snitch huenda wapos wenzake ila ndio u snitch ume manifest ..Alikuwa pekee yake. Wewe hukusikia Katibu Mkuu akisema wajumbe wa kamati Kuu kwa pamoja wamefanya maamuzi ya Kumfukuza.
la kuisaliti CCMNchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Yaani mwanzoni umeandika uzuri ila hitimisho lako eti "CCM indoke madarakani " ni la kijinga na la kipumbavu! Kwani hivyo vyama vyengine havina migogoro ya ndani? Viongozi wa Chadema wanamsema vizuri Mbowe? Pumbavu tena!Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.
Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".
Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Tanzania tumekuwa nchi ya kijinga sana. Hata Uganda tuliowasaidia wanatucheka.
HuyoAnafanya kitu kinaitwa “guilt tripping “emotional manipulation ya kufanya mtu au watu Wahisi au kujisikia vibaya kwa sababu kwa kumkosea mtu lengo la hii mbinu ni kucontrol au ku influence tabia ya mtu au watu hivyo kukwepa kuwajibika au kuwajibishwa..Hii mbinu inatumiwa sanaa,Hizi mbinu lazima Watanzania tujielimishe ili tuweze kukabiliana nazo,Kipindi hiki Dini na Jinsia zinatumika sana kuguilt trip watu,tujielimishe na kuelimishana ili tuweze kukabiliana bila kuleta utengano kwenye jamii.
Mbinu nyingine wanayotumia na wamekuwa wanatumia kucontrol Watanzania ni “Future Faking”Katiba mpya 2030,au Katiba mpya baada ya miaka miwili,au tukimaliza upatanisho basi Katiba tunawapa,Wanapata wanachotaka na kufanikiwa kucontrol watu na wengine wanatulia nazo kuwapa sapoti kabisa wakisubiri,Miaka au muda ukifika wanasogeza muda..Tunahitaji kujielimisha na kuelimishana sana
Naunga mkono hoja.Huyo
THE BIG SHOW humjui.
Yupo hivyo kila awamu ya uraisi.
Akiwa raisi mkristo atamshambulia na kulalamika waislam wanaonewa. Kuna mfumo kristo.
Akiwa muislam atamtetea hata kwa makosa yake yaliyo wazi kabisa.
Huyo hana akili huru wala mbinu zozote za kisaikolojia na mambo sofitcated kama ulivyo yaelezea hapo juu.
Wala hatumwi na kiongozi wa chama au serikali na hayupo kwenye system.
Huyo ni ustadh ndizi mfukoni na baraghashia tu.
Watu wa hovyo ni wengi nchi hii Ndio maana mnaona kuumiza wenzenu ndio furaha yenu hilo ni suala lamuda tu..wewe tukikuuliza kosa la Nchimbi ni lipi??? utatujibu?? maana kila kitu mnakimbiza kwamba ni udini!!! hata wakoloni walikua wabaya ila sasa tuko na watu wabaya sana na sijui kama mnafahamu kwamba kila kitu kina mwisho wake....Mwisho ukifika hata mngeambiwa nini hamtakubali na hamtasikiliza isipokua ndio uhalisia....HIZO NI AKILI ZA PAROKIA TUH ZINAWASUMBUA.
NA BILA SHAKA ALIESIMAMA NYUMA YA MR MACHO MAN NI PAROKIA HILO LIKO WAZI.
KWANZA UTAMBUE MR MACHO MAN SIYO WA KWANZA KUVULIWA UANACHAMA NA CCM KWA SABABU ZA USALITI NA HATAKUWA WA MWISHO.
ALIFANYA MAAMUZI KWA KHIYARI YAKE KUWA MWANA CCM LAZIMA AFUATE MIIKO NA TARATIBU ZAKE,KINYUME NA HAPO KAMA ANAHUJUMU ANAWEKWA PEMBENI ANALETWA MWINGINE KWA MASLAHI YA CHAMA NA TAIFA
TUNDU LISU HAWEZI KUACHWA KWA SHINIKIZO LA MITANDAO AU KWA NGUVU YOYOTE.
ANA KESI YA KUJIBU NA YUKO KIZIMBANI NA AMESEMA ATAJITETEA MWENYEWE.
MUACHE AJITETEE HILO SHINIKIZO NENDA KAMPE MKEO KAMA YUPO.
Na kuna ili zuzu lingine wanaliita general nkundaNo ni Mabeyo. Yule jamaa basi tu.