ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Conspiracy theories zitakuwa nyingi sana ila mwisho wa siku yatasahaulika na maisha yanaendeleaHii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Washukuru Mungu Refa wao bado yupo hai.Duh,
Inasikitisha sana..
Msoga gang - 3
Sukuma gang - 0
"Na maisha ya dunia haya ni ila ni mchezo na pumbao. Na nyumba ya Akhera ni bora kwa wanao mcha Mungu. Basi hamfahamu?"Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
— Surat Al-Hadid (57:20)"Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujigamba baina yenu, na kushindana kwa wingi wa mali na watoto..."
Ukiambiwa nini kitabadilika??Hii inawezekana vipi kwa mtu aliekuwa na hadhi ya Uspika wa Bunge?
1. Kafia nyumbani?
2.Kafia hospitalii?
3. Kafariki ghafla?
Kwani kwa wengine nini huwa kinabadilika?Ukiambiwa nini kitabadilika??
😁😁😁😁😁😁😁Usione Musiba kaomba msamaha hadharani.
Wanashughulikiana kweli.
Mkuu taarifa inasema kafia hospital akipatiwa matibabu. Mbona wamesema ni hospitalKwani kwa wengine nini huwa kinabadilika?
Taarifa ya Bunge umeisoma?Mkuu taarifa inasema kafia hospital alipatiwa matibabu.
Conspiracy theories zitakuwa nyingi sana ila mwisho wa siku yatasahaulika na maisha yanaendelea
Wengine hawataji na anasema kabisa "sitamtaja"Halafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi.
Kati ya makosa aliyoyafanya pole pole ni hilo, inaonekana hao wazee ndio dip stetiHalafu style ya huyo kijana kuongea huku anataja waliompa taarifa sio kitu kizuri.
Utasikia ooh hata Ndugai alinionya, watakuua ...ooh hata Warioba aliniambia hivi.
Huyo kenge nae kwanini anataja watu?Saivi ukitajwa na Polepole kuwa ulizungumza nae andaa wosia tu.
Mtandao washenzi sana.
Ndio Dunia hiyo mwenye Nguvu mpishe au ungana nae.hivi unafikiri, how do minority rule over majority? ni kwa kutumia terror, assasinations, na kila kitu, iiko hivyo tangia mwanzo wa dunia …
Ulivyoandika ni kanakwamba wazee hawafiSiku si nyingi tujiandae kusikia Mzee Warioba is no more.
NakaziaKilichomuua Ndungulile uliambiwa?