SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Wapo. Fake names zinafanya msijuane.si ajabu Mzigua90 mmeishi nae Udsm watoto wa wahadhili( lecturers).
Labda tumesoma wote sec.
 
Lol. Hapana hapana kabisa. Mi nimeishi kwetu tanga huko mjini nilikuja kwa ajili ya kusoma tu
Tanga Raha. Waja Leo. Vibinti vya TANGA napenda ufungaji wao wa khanga. Khanga mlegezo.Tembea yao utadhani kachomwa miba.kutengeneza matege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…