Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Hivi mama hana hata binti mwenye sura mbaya kama yake nianze kujibebisha maana kuna leo na kesho,,,,hakuna ubaya mbona whozu yupo kwa sepenga na hajui kodi inalipwaje????chamsingi nitanunua butururu(vumbi)nikumwaga moto mpaka nikatambulishwe mchambawima
 
Wazanzibari ndiyo jadi yao kuwa tukuza waarabu . , jueni hilo .... ANAWATUKUZA. WAARABU KAMA MIUNGU YAKE...HENCE WANATUCHUKULIA SISI SOTE WA TZ MA BONGO LALA ZUZULELA...
 
Uoga wa Wadanganyika ndio unamruhusu kufanya analofanya.
 
Shida Iko wapi?

Si tuko digital world?

Mbona nyie mmehamia clubhouse na Twitter full time hata maandamano mnafanya online?
Bado wana fikra za stone age,hawajui kua Dunia iishabadilika,popote ni ofisi.
 
Back
Top Bottom