Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha

View attachment 2769809
Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.

Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

President of Tanzania arrives in Doha​

Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.

Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.

More info :

Media Launch to announce Ghana's participation in the International Horticultural Expo 2023 in Doha.

Uzinduzi wa Vyombo vya Habari kutangaza ushiriki wa Ghana katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua 2023 huko Doha.

View: https://m.youtube.com/shorts/RYcLs803HRU


MAONESHO YA KILIMO YAFUNGULIWA DOHA QATAR

Doha Expo: Qatar seeks global cooperation - PM SAYS

The highly-anticipated International Horticultural Expo 2023 Doha officially launched on Monday at the all-green Al Bidda Park, redirecting global attention back to mega-event host Qatar.


View: https://m.youtube.com/watch?v=WY_NI8nkpb0
 
Amefanya ziara zaidi ya Biden,Putin,Kim na Xi jinping. Huyu ni Rais anayetoka nchi masikini. Je ziara hizi za kila mara Qatar na Saudi zina nia njema kweli na Tanzania? Watanzania tuache ushabiki wa matumbo na ujinga. Huyu si Kiongozi wa kuijenga Tanzania,ni kiongozi mpitaji na starehe kwa Sana.
 
We punga watu wanamtindua kisoda mamaako na hawasemi hapa acha ujinga we kunguru
Choko mbona unaanza kuona aibu mapema hivi? Jibu swali basi kama kakuchana linda tukutafutie tiba ikiwa bado ni mapema,kumbe na mamako nae kaliwa? Mbona unaanza kutoa mpaka siri za ndani tena?
 
kwa raisi huyu itabidi muweke vipengele vingi sana, usisahahu siye raisi tuliyemchagua kwa maana ya kumchuja na kumptisha ndiyo maana kila anachofanya hakiko sawa na , hamna haya wala huruma …
Kweli kabisaa 1,000,000%
 
Back
Top Bottom