Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Hoja ninayodhani ingejadiliwa hapa ni kuhusu anuani ya barua ya uteuzi kuwa ya nje ya nchi na kuonekana kana kwamba rais wa Tanzania ana ofisi nje ya Tanzania! Kwa wale wanaosema hata akiwa kwenye ndege anafanya kazi za urais ni sawa lakini je inaondoa physical address ya ofisi ya nchi?

Kwamba Zuhura anaweza kutupa ufafanuzi wa ni kwanini isingetumika anuani ya Ikulu Tanzania hata kama rais ameteua msemaji wa serikali akiwa nje ya kiti chake?
 
Back
Top Bottom