Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

Hawezi kwenda nchi za wazungu bila mbwembwe za taarifa kwa umma lakini huko kwa Waarabu anakofanya kuhujumu nchi lazima aende kwa kificho!
Punga Hili,angetaka kuficha angemteua huyo mteule kutokea huko?

Una akili za kuvukia Barabara tuu.Mwisho sio mara ya kwanza Samia Kufanya teuzi akiwa Nje ya Nchi.
 
Punga Hili,angetaka kuficha angemteua huyo mteule kutokea huko?

Una akili za kuvukia Barabara tuu.Mwisho sio mara ya kwanza Samia Kufanya teuzi akiwa Nje ya Nchi.
Wee chawa hushangai Rais wa nchi kusafiri nje ya nchi bila kutoa taarifa kwa wananchi wake? Kuna nini cha siri anachokwenda kufanya huko kwa wajomba zake? Je yuko likizo?
 

Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha

1696267307245.png

Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

HABARI KAMILI :
Doha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili jumatatu 02 October 2023 mjini Doha kuhudhuria ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Maua 2023 Doha.

Mheshimiwa rais , pamoja na ujumbe aliofuatana nao, walikaribishwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamad na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje mheshimiwa Lolwah bint Rashid Al Khater

President of Tanzania arrives in Doha​

Doha: President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan arrived on Monday in Doha to attend the opening ceremony of the International Horticultural Expo 2023 Doha.

Her Excellency and the accompanying delegation were welcomed upon arrival at the Hamad International Airport by Minister of State for International Cooperation at the Ministry of Foreign Affairs HE Lolwah bint Rashid Al Khater.

More info :

Media Launch to announce Ghana's participation in the International Horticultural Expo 2023 in Doha.

Uzinduzi wa Vyombo vya Habari kutangaza ushiriki wa Ghana katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Maua 2023 huko Doha.

View: https://m.youtube.com/shorts/RYcLs803HRU
 
Back
Top Bottom