SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Hivi kwanini kosa la kuchepuka anapewa Mwanaume tuu
Wakati lile tendo linafanywa na MWANAMKE + MWANAUME
 
Utasikia unawaza tu papuchi maendeleo utawaza saa ngapi,hii kauli huwa inanichefua sana,naunga mkono hoja hata Mimi twice a day for 5 days a week
 
Hahaa!! Halafu baada ya kuchepuka unajilaumu na kesho unarudi tena
 
Kuchepuka ni kama kubadilisha mboga tu.ingawa sometimes unakutana na matembele poli yamepoza kuliko uliyoaacha home.ijapokuwa hotpot lilikuwa linavutia.ila ukianza kula baada ya kumeza tonge la kwanza unatamani hata mikono ukanawie home
Halafu hapo unajuta sana kuingia cha kike
 
Nadhani hili jibu zuri atalielewa
 
Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.

Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.

Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
Una uhakika hachepuki?
 
Raha ndo ipi kwa mfano
Kwanza mke akisha jua unachepuka angalau anaongeza umakin hata ktk mapenz tofaut na hapo mwanzo wanabweteka sana kisa wqna watoto, vyet vya ndoa, nyumba nk mwanaune hataki hayo yote anataka kuhudumiwa buana.
 
Baa

Haya mambo hayana tiba. Mkiwa kumi elfu kama wewe, mtatumaliza wanaume wote mtabaki wenyewe. Haya mambo sio ya zama hizi. Mfalme Suleiman kayasababisha haya. Imagine wake 700 na masuria 300 hakutosheka sembuse sisi wenye mke mmoja mmoja.
 
Baa


Haya mambo hayana tiba. Mkiwa kumi elfu kama wewe, mtatumaliza wanaume wote mtabaki wenyewe. Haya mambo sio ya zama hizi. Mfalme Suleiman kayasababisha haya. Imagine wake 700 na masuria 300 hakutosheka sembuse sisi wenye mke mmoja mmoja.
Masuria ni nini hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…