GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Mpe housgirl wenu hakika atapunguza kuchepuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia unawaza tu papuchi maendeleo utawaza saa ngapi,hii kauli huwa inanichefua sana,naunga mkono hoja hata Mimi twice a day for 5 days a weekTatizo wake zetu hamwendani na kasi za waume zenu. Kwanza mnanuna sana, kitu kidogo tuu huongei. Halafu mkishapata watoto hamtaki tena quickies, mfano unamkuta mkeo room, ukitaka kumhug kimahaba utasikia nimechoka au kichwa kinauma. Yale mahaba ya uchumba yote hamyataki kisa eti mie mama sasa sio msichana. Mimi kwa kweli nipe dudu at least twice a day for 5 days a week. Sasa nyie hamturidhishi jipangeni upya
Hahaa!! Halafu baada ya kuchepuka unajilaumu na kesho unarudi tenaunafikiria kuchepuka ni hela......hela inaongeza hamasa tuu.....ni kijitabia kilichokomaa kwa wanaume....mtusamehe tu jamani ndoa idumu....huwa hatupendi kabisa.......ila huyu athumani kichwa wazi.....akiamua yake....unakesha na mkeo,,,,ila ukiamka asubuhi unapitia mchepuko kwanza ndio waenda job......
Kwani nyie huwa mnaridhika?Kabisa ila kama anakuheshimu hutajua kama anakulaga nje
Halafu hapo unajuta sana kuingia cha kikeKuchepuka ni kama kubadilisha mboga tu.ingawa sometimes unakutana na matembele poli yamepoza kuliko uliyoaacha home.ijapokuwa hotpot lilikuwa linavutia.ila ukianza kula baada ya kumeza tonge la kwanza unatamani hata mikono ukanawie home
Unaoa wanne afu bado tena unachepuka hahaahaaNdio tulivyo, ukweli ambao wanawake hampendi kusikia. Kati ya wanaume 10 basis 8/9 wanachepuka.
Bora Sie tunaoa wanne
Nadhani hili jibu zuri atalielewaWw una sura mwenzio ana umbo
Ww una hips mwenzio ana tako
Ww una sura mwezio ana jicho
Ww una kiuno laini mwenzio ana mgongo wa masage
Ww unagulia kimya kimya mwenzio fulu yowe
Ww gogo mwezio uno mipaka chongo
Ww mbabe mwenzio ana care
By the way sharing is caring
Una uhakika hachepuki?Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.
Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.
Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
Ni mtu wa dini sana??Exactly kuna mbaba sku tulivyojua anacheat kila mtu alibak mdomo waziii
Mmmmh!!!! Kwa hiyo alikwambia ameliwa Tigo,sijui kwa nini hamjuagi kutunza siriAaah wapi. Namjua mtu alitolewa bikra ya tigo na akaachwa kweupeee
Uko sahihi chief agiza balimi 2 hapo karibu nakija lipa fatsa[emoji23] [emoji23]mwanaume kiasili hakuumbwa awe na mwanamke mmoja
Hiiii!! kumbe hujui sasa unaongea nn kama utulie ubakie kuwa mpenzi mtazamajiMm mwenyewe sijui
Kwanza mke akisha jua unachepuka angalau anaongeza umakin hata ktk mapenz tofaut na hapo mwanzo wanabweteka sana kisa wqna watoto, vyet vya ndoa, nyumba nk mwanaune hataki hayo yote anataka kuhudumiwa buana.Raha ndo ipi kwa mfano
Sio wanaume tu, hata wanawake wanachepuka sana tu kama wanaume. Ni vile tu watu wanawa-overlook.
Hamna kuna wanawake by nature tu ni Malaya,ndo maana si kila mwanamke ni wa kuoaIla mpaka ke achepuke ujue me unamapungufu flani.
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Masuria ni nini hivi?Baa
Haya mambo hayana tiba. Mkiwa kumi elfu kama wewe, mtatumaliza wanaume wote mtabaki wenyewe. Haya mambo sio ya zama hizi. Mfalme Suleiman kayasababisha haya. Imagine wake 700 na masuria 300 hakutosheka sembuse sisi wenye mke mmoja mmoja.
Ndugu yangu usiusemee moyo. Hawakaniwi hawa viumbe. Usiseme mumeo hacheat sema hujawahi kumkamata.