SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

kuchepuka mchepuke nyie mje kutusingizia wanaume, mimi hata ufunge hicho kitambaa itaendelea kusimama dede na kutembea kama kawa.
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
hahahaha mzigua aiseeee nimekuelewa
 
Wanawake ndo mnachepuka sana siku hizi
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.
Si wanaume wote wananchepuka demiss. Usikariri maisha.
Wako tulio tulia na mmoja, na akizungua natema naleta mwingine. But kamwe huwa si cheat kwa mtu ninaekuwa nae.

Ukiweza ku control mind yako, utaweza ku control mwili wako.
 
Swali gumu, mana unaweza ukapewa vyote unavyotaka na bado ukachepuka, wanawake ni kama maua ndani umeweka uwaridi ukienda nje unaona ua jingine la njano unataka ulinuse usikie linanukiaje.
Khaaaaaaa hatar sanaaa
 
Ndio tulivyo, ukweli ambao wanawake hampendi kusikia. Kati ya wanaume 10 basis 8/9 wanachepuka.

Bora Sie tunaoa wanne
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.
if-your-man-cheats-on-you-dump-him-and-date-18580122.png
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.

Wape tigo
 
Ni tabia mbaya sana kufungana kimahusiano/kimapenzi...

Mimi mahondaw wangu nahisi ameniloga kimahaba... sifikiriagi kuchepuka kabisa...

Cc: mahondaw
 
Anza kumuuliza mmeo kisha leta jibu alilokupa tulijadili.
 
Back
Top Bottom