SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Don't try this at home...Nataka ukichepuka kikojoleo kizibe, je kitambaa cha rangi ipi kinafaa.?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Of course umeongea kama binti mdogo tu, na nitakujibu kama Dada yako tu.

Don't stress yourself over things you cannot control. A man cheats simply because he has chosen to cheat na sio vingine. Usijidanganye hana hela ndo maana ha cheat. Ku cheat ni uamuzi.

Kingine ni kwamba ukishamfunga hivyo, then what? Je, unaelewa impact psychologically kwa mwanamme kutoweza ku erect huku akijua fika hana tatizo jingine?

Je, utahandle vipi trauma ya mwenzio kipindi hiki ambacho anakuwa na stress hizo huku ukijua kabisa kinachoendelea umemfanyia wewe?

Unaelewa kwamba mwanamme wa hivi anakuwa affected hata mishe za kila siku za kumuingizia hela anakuwa hawezi kuzipiga? Mtaishije just because you chose to let your jealousy get out of hand?

Waza mbele kidogo. What if things go wrong iwe akiwa kwako ndo hatapata erection kabisa? Na je, what if you get caught? Not all men are stupid my dear. Don't cross that line.

Plus kuna kesho. Kesho ya Bwana Karma daadeqi, na kuna kesho ya Mungu. Hamad ndo umejitotolea kitoto chako cha kiume.

Deep down utaishije.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.


Mrs Jr.
Mimi hata ufunge kitambaa au shuka kabisa mashine yangu inapiga kazi kama caterpillar
 
Hamna lolote. Kutoa tigo sio jambo kuubwa siku hizi. Kwahiyo akikupa ikishalegea utaenda kwa mwengine tena. Kwahiyo hamna cha ajabu mtafanyiwa mkatulia. Labda tuwaombee mpate hela za kubadilisha mboga ndo kidogo mtacheat kwa upole
Kikubwa hatutaki mwanamke anayejifanya mjuaji mjuaji sana.
Hatutaki mwanamke omba omba.

Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri 6*6 halafu mchafu.
Hatutaki mwanamke ambaye hajali ndugu wa mume.
Hatutaki mwanamke mshirikina.
Hatutaki mwanamke ambaye hapendi kujishughulisha.
Hatutaki mwanamke ambaye hana elimu ya kueleweka.

Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri jikoni na usafi wa mwili na nyumba kwa ujumla.
NK.
 
Kikubwa hatutaki mwanamke anayejifanya mjuaji mjuaji sana.
Hatutaki mwanamke omba omba.

Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri 6*6 halafu mchafu.
Hatutaki mwanamke ambaye hajali ndugu wa mume.
Hatutaki mwanamke mshirikina.
Hatutaki mwanamke ambaye hapendi kujishughulisha.
Hatutaki mwanamke ambaye hana elimu ya kueleweka.

Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri jikoni na usafi wa mwili na nyumba kwa ujumla.
NK.
Bwana wee tushajua hamridhiki. Na sisi tutafanya tunanapoweza tukishindwa basi.
 
Back
Top Bottom