Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Of course umeongea kama binti mdogo tu, na nitakujibu kama Dada yako tu.
Don't stress yourself over things you cannot control. A man cheats simply because he has chosen to cheat na sio vingine. Usijidanganye hana hela ndo maana ha cheat. Ku cheat ni uamuzi.
Kingine ni kwamba ukishamfunga hivyo, then what? Je, unaelewa impact psychologically kwa mwanamme kutoweza ku erect huku akijua fika hana tatizo jingine?
Je, utahandle vipi trauma ya mwenzio kipindi hiki ambacho anakuwa na stress hizo huku ukijua kabisa kinachoendelea umemfanyia wewe?
Unaelewa kwamba mwanamme wa hivi anakuwa affected hata mishe za kila siku za kumuingizia hela anakuwa hawezi kuzipiga? Mtaishije just because you chose to let your jealousy get out of hand?
Waza mbele kidogo. What if things go wrong iwe akiwa kwako ndo hatapata erection kabisa? Na je, what if you get caught? Not all men are stupid my dear. Don't cross that line.
Plus kuna kesho. Kesho ya Bwana Karma daadeqi, na kuna kesho ya Mungu. Hamad ndo umejitotolea kitoto chako cha kiume.
Deep down utaishije.
Mimi hata ufunge kitambaa au shuka kabisa mashine yangu inapiga kazi kama caterpillarMimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Ndio kwan uongoAhhahahahahah aiseeee
Kikubwa hatutaki mwanamke anayejifanya mjuaji mjuaji sana.Hamna lolote. Kutoa tigo sio jambo kuubwa siku hizi. Kwahiyo akikupa ikishalegea utaenda kwa mwengine tena. Kwahiyo hamna cha ajabu mtafanyiwa mkatulia. Labda tuwaombee mpate hela za kubadilisha mboga ndo kidogo mtacheat kwa upole
Mchepuko wanajituma mno mke mpka mlazimishane kweliRaha ndo ipi kwa mfano
Bwana wee tushajua hamridhiki. Na sisi tutafanya tunanapoweza tukishindwa basi.Kikubwa hatutaki mwanamke anayejifanya mjuaji mjuaji sana.
Hatutaki mwanamke omba omba.
Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri 6*6 halafu mchafu.
Hatutaki mwanamke ambaye hajali ndugu wa mume.
Hatutaki mwanamke mshirikina.
Hatutaki mwanamke ambaye hapendi kujishughulisha.
Hatutaki mwanamke ambaye hana elimu ya kueleweka.
Hatutaki mwanamke ambaye hayupo vizuri jikoni na usafi wa mwili na nyumba kwa ujumla.
NK.
Ukiyazingatia haya machache niliyokuambia hakika hakuna atakayekusaliti.Bwana wee tushajua hamridhiki. Na sisi tutafanya tunanapoweza tukishindwa basi.
Ukiyazingatia haya machache niliyokuambia hakika hakuna atakayekusaliti.