MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Huyu jamaa ndio wale wanaitwa confident fools..... hakuna anachojua ila ni mbishi hatari.Unajifanya unajua FBI na CIA wakati hata huji wanavyofanya kazi iwapo unashangaa kusikia kuwa wanatumia moles "waliovikwa waya"; kama hujui kabisa maana ya term "kuvikwa waya" basi usijadili mambo ya FBI hapa. Nadhani uliposoma phrase hiyo wewe ukadhani ni kumfunga mtu waya za umeme! Kwa ufupi nim kuwa kumvika mtu waya ni kumpa kifaa kidogo cha kunasa sauti ambacho kinapeleka maongezi yao moja kwa moja kwa afisa wa FBI ambaye atayarekodi. Hiyo ndiyo maana ya kuvika waya, siyo waya wa umeme.
Wewe kutokujua mambo isiwe tatizo kwa wengine; yaani hata huwezi kujiuliza kwa nini watu wengi hapa wanakupinga.