Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hivi ile 'Homeland security department' sio counter intelligence pia?....
Hawaingiliani kimajukumu na FBI ?
Nafikiri ni matokeo ya shambulizi la Usamma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ile 'Homeland security department' sio counter intelligence pia?....
Hawaingiliani kimajukumu na FBI ?
Homeland security ilianzishwa baada ya Sep 11. Ilikusanya taasisi kibao za usalama wa ndani kuanzia immigration, customs, border patrol, majanga etc. Ila hawafanyi intelligence kama FBI wala hawafanyi upelelezi wa makosa ya jinai.Hivi ile 'Homeland security department' sio counter intelligence pia?....
Hawaingiliani kimajukumu na FBI ?
Ok....ila kuna wakati FBI hufanya uchunguzi wao mpaka nchi nyingine ina maana hapo hushirikiana na CIA ?Homeland security ilianzishwa baada ya Sep 11. Ilikusanya taasisi kibao za usalama wa ndani kuanzia immigration, customs, border patrol, majanga etc. Ila hawafanyi intelligence kama FBI wala hawafanyi upelelezi wa makosa ya jinai.
Wakifanya uchunguzi mpaka nje ya nchi, ni issue ya crime. Mfano; ubalozi wao ulivyopigwa bomu Tanzania, walikuja kufanya uchunguzi, maana wao ndio wanapeleka mafaili kwa waendesha mashtaka huko kwao. Ila hawafanyi intelligence nje ya nchi. Lakini hamna kinachowazuia CIA kuwapa taarifa FBI, ni kama hapa kwetu, JWTZ ikipata kitu, watashare na wenzao.Ok....ila kuna wakati FBI hufanya uchunguzi wao mpaka nchi nyingine ina maana hapo hushirikiana na CIA ?
We jamaa wewe hujui kujieleza, Mimi ambae uelewa wangu ulikuwa mdogo kuhusu hizi taasisi nimefafanuliwa na nimefatilia nikaelewa ila wewe unaejidai unaelewa kumbe ni hovyo tu. Kichuguu ameeleza jinsi ilivyo ila umeshindwa kukubari kwasababu unahisi utaonekana wa hovyo. Elimu Haina mwisho mkuuMm nimekutolea mfano tu ili kuleta maana Kama unabisha Basi......
Kwani unahisi hizo official websites hatuzijui tunazijua. Ila mm kwenye suala la kuniambia CIA hawafanyi kazi ndani ya Marekani naona Kama unaniongopea tu.
Achaneni nae huyo hajielewi, eti huwezi kuniongopea, inamaana anakana hadi maelezo sahihi yaliyoandikwa na wahusika . Basi alete uhakisia siyo porojoUnaongopewa na nani? Unapewa facts, jibu kwa facts sio series au labda unadhani kuwa na ofisi US ndio maana yake wanafanya kazi ndani ya US? Labda tuseme, hawaruhusiwi ku-target watu walioko ndani ya Marekani. Kama una hata operation moja ya CIA ndani ya USA, weka hapa
CIA kwa Marekani ni kama ilivyo Mi6 ya UK, nao hawaruhusiwi kufanya kazi za ndani. FBI kwa Marekani ni kama ilivyo Mi5 kwa UK hawaruhusiwi kufanya kazi za nje. Ndio maana ya Foreign na Domestic Intelligence service.
We jamaa ni ng'ombe kama ng'ombe wengine tu Bora kuachana naeNinaweza nikawa dogo lakn nikakuzidi uelewa......usiniulize mm kafuatilie ndo uje hapa.
Siku nyingine usije na viterminology vyako sijui spy ring ukadhani hatujui.
Sasa unaniambia mm Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuleta duniani mpumbavu Kama wewe.....We jamaa ni ng'ombe kama ng'ombe wengine tu Bora kuachana nae
Ng'ombe ni baba yako na mama yako....We jamaa ni ng'ombe kama ng'ombe wengine tu Bora kuachana nae
Sasa wewe ambaye unajua kujielezea umetoa kipya kipi....tukasema wewe unajua kujielezea.....ndo shida ya watoto wa kwenye mapipa Kama wewe......chomoa haraka niwahi nyumbaniWe jamaa wewe hujui kujieleza, Mimi ambae uelewa wangu ulikuwa mdogo kuhusu hizi taasisi nimefafanuliwa na nimefatilia nikaelewa ila wewe unaejidai unaelewa kumbe ni hovyo tu. Kichuguu ameeleza jinsi ilivyo ila umeshindwa kukubari kwasababu unahisi utaonekana wa hovyo. Elimu Haina mwisho mkuu
Hakuna kipya hapa zaidi ya kukubari kuwa wewe ni mburura tuSasa wewe ambaye unajua kujielezea umetoa kipya kipi....tukasema wewe unajua kujielezea.....ndo shida ya watoto wa kwenye mapipa Kama wewe......chomoa haraka niwahi nyumbani
Kukubari ndo umeandika nn sasa hata kuspell haujui......hauna jipya bwana zaidi ya kukurupukia watukipya hapa zaidi ya kukubari kuwa wewe ni mburura tu
Umeeleweshwa hutaki kukubali hadi unapewa facts bado tu sasa tukuweke kundi gani kenge wa mayai wewe
Kwa hiyo hata mama yako angekataa asingemkubali baba yako naye angekuwa mburura???Hakuna kipya hapa zaidi ya kukubari kuwa wewe ni mburura tu
Umeeleweshwa hutaki kukubali hadi unapewa facts bado tu sasa tukuweke kundi gani kenge wa mayai wewe
Akili yako Haina akili, leta Uzi wako tuone kama kweli na wewe nimjanja, siyo kushambulia watu wanaofahamu mambo kama unataka elimu sema usaidiwe, kenge wa mayai weweKwa hiyo hata mama yako angekataa asingemkubali baba yako naye angekuwa mburura???
Sasa tuliza makalio yako Kama yanakuwasha.......watu ambao mlipata lishe kenge. Andazi kipande chai jagi Kama nyie mna matatizo. Walaumu wazazi wako waliokupa lishe duni mpaka udumae akili.Akili yako Haina akili, leta Uzi wako tuone kama kweli na wewe nimjanja, siyo kushambulia watu wanaofahamu mambo kama unataka elimu sema usaidiwe, kenge wa mayai wewe
Wakitaka waandike kila kitu watu tukubali anzisha platform ya kwako na ili wasipingwe hao unaowaona wanajua na wanaelimu......Akili yako Haina akili, leta Uzi wako tuone kama kweli na wewe nimjanja, siyo kushambulia watu wanaofahamu mambo kama unataka elimu sema usaidiwe, kenge wa mayai wewe
Unavyofikiri wewe ulivyo mpenda sifa kwa watu ukafikiri watu wote wako hivyo......Akili yako Haina akili, leta Uzi wako tuone kama kweli na wewe nimjanja, siyo kushambulia watu wanaofahamu mambo kama unataka elimu sema usaidiwe, kenge wa mayai wewe