MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kama sio federal crime hawaruhusiwi; Marekani, kama kitu hakijamtakwa kuwa ni Federal, moja kwa moja kinaangukia kwenye Local. Na swali langu halikuwa hilo. Niliuliza nani ana mandate ya kuchunguza federal crimes in USA? Na nani ana mandate ya kuchunguza crimes hapa TZ?Hakuna cha federal crimes wala nn Kuna makosa mtu ukifanya yakiwa yana hatarisha usalama wa marekani lazima FBI waingilie kati lakini sio kucategorize makosa....
Hiyo mbona inajulikana ndo mfumo wao waliojiwekea kwenye uchaguzi mbona tumeona hata Biden alipitia hiyo hatua....