SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

Kwani DCI inasimama Kama Directorate of Criminal Investigation au Director of Criminal Investigation....
DCI ni Director of Criminal Investigation; Sio Directorate of Criminal Investigation. DCI ni mtu anaongoza CID. Au nalo unataka kubisha?

1650658663838.png
 
Hizo mbwembwe tu. Idi Amini FBI yake ilikuwa inaitwa "State Research Bureau", hapa kwetu kabla ya kuitwa TISS walikuwa wanaitwa "Special Branch". Swala kubwa ni majukumu gani wanafanya.
Ulivyoelewa wewe ni mbwembwe kutokana na uelewa wako......ndo maana hata ukiambiwa kwamba pale kwenye TISS ile security na intelligence ni vitu viwili tofauti ukivichambua kiundani
 
Wewe ni mbishi tu....unataka kuleta siasa
Sio ubishi, unapewa facts. Jibu kwa facts. Kama hata kujua tofauti ya Federal Crimes na State Crimes inakupata tabu, mambo mengi yatakupiga chenga. USA wana utitiri wa law enforcement agencies; Sherrifs, Marshals etc wote wana mipaka yao. Kasome vitabu achana na series
 
Kwani hiyo news imesemaje? Au Daily News nao wanaongopa? 🤣🤣🤣
Kwa hiyo watu wanavyosemaga DCI mm nilijua ni Directorate of Criminal Investigation ambayo inakuwa na director wake.....au wewe unafikiri hilo neno ni geni kwangu
 
Sio ubishi, unapewa facts. Jibu kwa facts. Kama hata kujua tofauti ya Federal Crimes na State Crimes inakupata tabu, mambo mengi yatakupiga chenga. USA wana utitiri wa law enforcement agencies; Sherrifs, Marshals etc wote wana mipaka yao. Kasome vitabu achana na series
Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea....

Mm hayanipi chenga sema wewe ndo mgumu wa kuelewa vitu ambavyo tayari vimeshaandikwa tayari....
 
Ulivyoelewa wewe ni mbwembwe kutokana na uelewa wako......ndo maana hata ukiambiwa kwamba pale kwenye TISS ile security na intelligence ni vitu viwili tofauti ukivichambua kiundani
Ni kweli Intelligence na Security ni vitu viwili tofauti, lakini majukumu hajatokani na jina; yanatokana na sheria inayoanzisha chombo. Ndio maana nikakwambia, kuna idara zinaitwa State Research Bureua na bado ni Intelligence and Security service.

Hata hao Mi5 pamoja na kuitwa Security Service, bado wako defined kama sehemu ya Intelligence machinery ya UK

1650659239995.png
 
Kwa hiyo watu wanavyosemaga DCI mm nilijua ni Directorate of Criminal Investigation ambayo inakuwa na director wake.....au wewe unafikiri hilo neno ni geni kwangu
Swala sio ugeni wa neno, swala unaelewa maana yake. Maana ungekuwa unafuatilia maswala ya usalama, neno CID lisingekupiga chenga. Ndio maana ulivyokuwa unacheka watu wanavyofananisha FBI na CID tukawa tunashangaa. Maana hata FBI walipokuja Tanzania mwaka 1998, walionana na DCI maana ndio mwenzao kwenye maswala ya jinai.
 
Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea....

Mm hayanipi chenga sema wewe ndo mgumu wa kuelewa vitu ambavyo tayari vimeshaandikwa tayari....
Naona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?
 
Swala sio ugeni wa neno, swala unaelewa maana yake. Maana ungekuwa unafuatilia maswala ya usalama, neno CID lisingekupiga chenga. Ndio maana ulivyokuwa unacheka watu wanavyofananisha FBI na CID tukawa tunashangaa. Maana hata FBI walipokuja Tanzania mwaka 1998, walionana na DCI maana ndio mwenzao kwenye maswala ya jinai.
DCI boss wake tuanzie hapo....
 
Uelewa wako ni mdogo ndo maana haunielewi....
Unaandika utopolo. Hii mada sio saizi yako

Hivi unaelewa kwa nn hizo agency zote zinazotumia human source intelligence zinaitwa law enforcement au unaongea?

Jibu swali CIA ni law enforcement agency? Au CIA haitumii HUMINT?
 
Naona unazidi kupoteana.... CIA ndio mtumiaji namba moja duniani wa Human Intelligence(HUMINT), unataka kusema CIA ni law enforcement agency?
CIA sio law enforcement sababu kazi yao ni kukusanya, kuzichambua na kufanya interpetation ya taarifa walizo nazo na kuzituma marekani kwa watunga sera...
 
Tatizo lako unajifanya unajua kumbe hauna unalojua ni siasa tu....
Mkuu unapoteana... wewe ndio umeuliza kwanini wanatoumia human int wanaitwa Law enforcement... nimekuuliza swali rahisi is CIA a law enforcement agency? Kama umepitiwa, sema tu nimepitiwa. Usitafute visingizio.
 
Halafu mm haunielewi ndo maaan unakurupuka kunijibu ndo maana haunielewi sababu ushaweka ile ligi.

Unapoteana wewe ambaye unataka kujifanya unajua vitu kumbe haujui...yaani polisi ni sawa na FBI
 
Back
Top Bottom