SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

Huyu jamaa ndio wale wanaitwa confident fools..... hakuna anachojua ila ni mbishi hatari.
 
Wewe kiazi ebu kaa kimya bwana tuondolee stori za vijiweni bwana hizo.....ndo uelewa wako umeishia hapo
 
Au unafikiri gadgets hazijulikani......ni bora ukaa kimya tu
 
Au unafikiri gadgets hazijulikani......ni bora ukaa kimya tu
Pumba tupu; eti unajifanya unajua gadgets lakini hujui process inayoitwa wiring au wiretapping kwenye utendaji wa FBI.

Nimekupa link upate taarifa jinsi FBI inavyofanya kazi upunguze kueneza uwongo; wanatumia wiretapping na wiring katika kesi nyingi sana. Process zote mbili zinahitaji kibali cha mahakama kama ilivyo search warrant. Hata Trump aliwahi kulalamika sana kuwa ofisi yake ya New York ilikuwa wiretapped na FBI.

 

Sawa wewe unayejua process za investigations........kwa hiyo wiretap ndo kufunga wire kwa kiswahili
 
Kiingereza kigumu sana kwako inaelekea...
 
Sawa wewe unayejua process za investigations........kwa hiyo wiretap ndo kufunga wire kwa kiswahili
Pumba tupu.

Kuna process mbili hapo: wiretaping ya simu na wiring kwenye direct converstaions. Hujui hilo pia pamoja na kuwa limeandikwa hapo juu? Kwa nini ulikurupukakusema unajua "gadgets" iwapo hujui kuwa zinatumika wapi wakati wa investigation.
 
Hivi wewe unanichukuliaje kwanza......au unavyowaona maboya wenzio kitaa kwenu ndo unafikiri wote maboya.

Unafikiri hilo unaloliongea ndio kwamba ni geni watu hatujui au?. Mbona hata kibongo bongo tu polisi wanafanya hizo ku-intercept mawasiliano ya simu ya mtu mpaka na meseji zake wanasoma.

Kwa hiyo ndo umeona hilo ndo swala jipya hatujui watu au una kingine tena.
 
Kaingie tena darasani ujifunze kiingereza yaani wewe uje ututambie na vitu vya kugoogle halafu ujifanye uko konki we inaelekea akilini mwako haupo sawa.......au unafikiri ss hatuna hivyo unavyotumia wewe kubrowse
 
Wewe labda ungekuwa mnyamwezi mwenyewe ningekubali lakini wewe mkambunga wa mbwinde huko utaniambia nn.......
 
Pumba tupu; lugha yako inaonyesha upeo wako.
 
Pumba tupu; lugha yako inaonyesha upeo wako.
Hauna jipya bwana wewe mkambunga tu kawatambie wajinga wajinga wenzio huko. Hauna utakaloongea watu tusikifahamu.

Nyie ndo mnajifanyaga washua mmeelimika kumbe hamna lolote....
 
Pumba tupu; lugha yako inaonyesha upeo wako.
Hasa wewe mwenye lugha nzuri umeshindwa hata kuchagua jina zuri. Eti unajiita kichuguu ndo maana akili zako zinakuwa za kichugu kichugu.
 
Tanzania ilipoanzisha la wasiojulikana mkalipiga vita badala ya kuona mapungufu yao yakaboreshwa kwa faida ya nchi.
Hili halikuanzishwa kisheria bali lilikuwa kwa sababu za kuua wapingaji wotw wa ile serikali dhalimu
 
Hili halikuanzishwa kisheria bali lilikuwa kwa sababu za kuua wapingaji wotw wa ile serikali dhalimu

Si tunasoma hapa hapa jF kuwa UWT ilikuwa haiko kisheria na ilikuwa mfukoni mwa Mwl hadi ilipo jinyumbulisha ikawa TISS ndipo ilipokuwa kishetra. So kwa nini na hili lisinyumbulishwe na likaangaliwa kama yalikuwapo mema yakaendelezwa? Hivi unadeal vipi na kukomesha tabia ya muingia mkataba aliyeaminiwa na nchi kuingia huo mkataba kwa niamba ya raia wengine wote. Na katika kufanya hivyo akaweka vipengele dhaifu kwa makusudi vya kimkataba ili kulinda apate 10% na kufanya asiweze kuchukiliwa hatua za kisheria akibainika kwa sababu tu huo mkataba aliweka loop holes za yeye kutowajibishwa?
 
Ngoja nikuulize maswali dogo. Mtu akifanya federal crime Marekani, ni idara gani inafanya uchunguzi? Na mtu akifanya kosa la jinai Tanzania ni idara gani inafanya uchunguzi?
Hivi ile 'Homeland security department' sio counter intelligence pia?....

Hawaingiliani kimajukumu na FBI ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…