SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

Muongo...
FBI hawahusiki na suala lolote la Ujasusi bali wao wamejikita zaidi kwenye upepelezi yaani investigation.

Kubwa ziima
Hapan, FBI wana kitengo cha ujasusi, huenda ni kwa vile neno ujasusi tunalichukulia vibaya. FBI wana line kadhaa za kupokelea tips kuhusu mipango haramu. Wakipata tips hizo hutafuta mtu wa kutumia ambaye atakuwa karibu na wanaoshukiwa kama insider ili aweze kupata taarifa kamili. Mtu huyo huvalishwa waya kiasi kuwa maongezi yake na hao washukiwa yatakuwa yanarekodiwa na FBI. Wakishakusanya taarifa za kutosha ndipo wanamkamata mshukiwa kabla hajatekeleza mipango yake. FBI waliwakamata wasomali fulani waliokuwa na mpango kwenda kupigana ISIS wakamatwa wakiwa airport, waliwakamata wale jamaa waliotaka kumteka gavana wa Michigan wakiwa hauta za mwishoi za kwenda kwenye nyumba yake, na kila mwaka hukamata watu wengi kabla hawatekeleza mipango yao kutakana na taarifa za kijasusi wanazopata kutoka kitengo chao. Wakati mwingine wanaweza kwenda kwenye shirika la simu na kumuwekea waya mshukiwa kwenye line yake kuwa wanarekodi mazungumoz yake yote, jambo. Udukuaji wa simu ni sehemu ya tools walizonazo FBI ambao ni ujasusi.
 
Hiyo show siyo ya CIA na wala hiyo siyo kazi ya CIA bali ni uigizaji tu. Holywood huigiza kitu chochote; ukitaka movie na show za TV zinazohisha CIA zipo nyingi sana; zote hazina baraka za CIA.
Inaelekea hata darasani hesabu ulifeli maana hata kutengeneza logic maana yake haujui.......
 
Post yote hii haina mantiki kwani nilikwambia kuwa FBI wana wana kitengo chao cha intelligence kinachowasaidia kuzia uharifu kabla haijatendeka, halafu unaniuliza tena iwapo FBI hawana intelligence analysts? Swali gani hilo au unataka jibu la namna gani.

FBI hawana jurisdication kufanya kazi nje ya nchi bali wanaweza kufanya kwa kuombwa kuzisaidia mamlaka zenye jurisdiction kunakohusika. Nadhani hata sisi Tanzania tuliwahi kuwaomba kutusaidia kuchunguza mauaji ya padri mmoja huko Zanzibar. Wakienda kufanya uchunguzi wao nje ya nchi kwa ajili ya Marekani basi huwa ni kwenye balozi zao tu, kama walivyokuja kufanya uchunguzi hapa kwetu wakati ubalozi wao ulipolipuliwa.

Marekani hawawezi kukuchukulia hatua yoyote kwa kukuhisi tu; halafu nikakwambia kuwa CIA hawana resources za kukufuatilia ndani ya nchi hadi wafikie kukuhisi. Hiyo ni kazi ya FBI.

Nadhani aliyeanzisha uzi alikuwa na nia ya kufahamisha watu wengine hapa kwenye jukwaa, usijaribu kueneza habari za kupotosha watu kwa kuandika usiyofahamau na kulazimisha yakubalie kuwa ni kweli.
Yaani mm nipotoshe watu kwa faida gani na kutaka nn......wewe ndo unaongea vitu vya kitoto yaani ufananishe CID na FBI huo ni ujinga Kama kitu haujui ni bora usichangie tu.
Yaani narudia uelewa wako wewe ni mdogo hata mwalimu wako darasani alikuwa akipata shida kukufundisha.
 
Hapan, FBI wana kitengo cha ujasusi, huenda ni kwa vile neno ujasusi tunalichukulia vibaya. FBI wana line kadhaa za kupokelea tips kuhusu mipango haramu. Wakipata tips hizo hutafuta mtu wa kutumia ambaye atakuwa karibu na wanaoshukiwa kama insider ili aweze kupata taarifa kamili. Mtu huyo huvalishwa waya kiasi kuwa maongezi yake na hao washukiwa yatakuwa yanarekodiwa na FBI. Wakishakusanya taarifa za kutosha ndipo wanamkamata mshukiwa kabla hajatekeleza mipango yake. FBI waliwakamata wasomali fulani waliokuwa na mpango kwenda kupigana ISIS wakamatwa wakiwa airport, waliwakamata wale jamaa waliotaka kumteka gavana wa Michigan wakiwa hauta za mwishoi za kwenda kwenye nyumba yake, na kila mwaka hukamata watu wengi kabla hawatekeleza mipango yao kutakana na taarifa za kijasusi wanazopata kutoka kitengo chao. Wakati mwingine wanaweza kwenda kwenye shirika la simu na kumuwekea waya mshukiwa kwenye line yake kuwa wanarekodi mazungumoz yake yote, jambo. Udukuaji wa simu ni sehemu ya tools walizonazo FBI ambao ni ujasusi.
Dah umenichekesha eti FBI wanamvisha waya mtu akachunguze duh hapa inadhihirisha kwamba wewe ni kiazi.......usikariri kwenye masuala ya investigations hamna formula acha kutuongopea kuna techniques na tactics mbalimbali
 
Yaani mm nipotoshe watu kwa faida gani na kutaka nn......wewe ndo unaongea vitu vya kitoto yaani ufananishe CID na FBI huo ni ujinga Kama kitu haujui ni bora usichangie tu.
Yaani narudia uelewa wako wewe ni mdogo hata mwalimu wako darasani alikuwa akipata shida kukufundisha.
We jamaa ni mbishi wakati hakuna unachojua, umeangalia sana series mpaka umevurugwa.

Umeshaambiwa FBI wana kazi mbili Domestic Intelligence Service na Principal Law Enforcement Agency. Kwenye role ya pili wanafanya kazi kama police wa Federal Goverment ili kudeal na Federal Crimes, kwa hiyo ni sahihi kusema FBI wanafanana na CID linapokuja swala la upelelezi wa makosa ya jinai, na wanafanana na TISS linapokuja swala la ujasusi wa ndani; wao ndio wanafanya CounterIntelligence na mambo kama hayo; ukisikia kuna spy ring ya Wachina au Russia imevurugwa ujue ni kazi ya FBI, na wanafanana na PCCCB linapokuja swala la rushwa.

Inawezekana hata mfumo wa Law Enforcement wa US hufahamu ukoje.
 
Kama Wewe ni mfuatiliaji wa Mambo Mbali mbali, Bila shaka Lazima umewahi Kukutanana Na Majina Kama SWAT, CIA au FBI Wakati Tukipiga Stori za Uongo na Ukweli vijiweni.
Sasa Leo Nataka Uzijue Kiundani Taasisi hizi.

1. SWAT.
Ni Kifupi Cha Special Weapons and Tactics.
Na ilianzishwa Rasmi Mwaka 1964 (Hii ni Kwa Marekani lakini)
SWAT ni kikundi Maalum cha polisi kwa ajili ya kupamba na Matukio yanayohitaji Kutumia Silaha au Mbinu Maalum
Kwa mfano; matukio ya Utekaji na ujambazi, https://t.co/Qcu5ZZ8wUT

2. CIA
Ni Kifupi Cha “Central Intelligence Agency”.
Hili ni shirika la upelelezi la serikali ya Marekani, inayohusika na kukusanya, usindikaji, na kuchambua habari za usalama wa kitaifa kutoka duniani kote. https://t.co/utdhNVpbT3
Liliundwa rasmi September 18, 1947. makao Yake Makuu Yako Pale Langley, Virginia.
Limejikita zaidi Katika Msauala Ya Kijasusi Ya USA Kwa Ndani Na Nje ya USA.
Kwa Mujibu wa Vyanzo mbalimbali, CIA inatajwa Kama Shirika Bora La Kijasusi duniani Huku “Mossad”La Israel Likifuata. https://t.co/UZE3be22VR

3. F.B.I (Federal Bureau of Investigation).
Shirika la Ujasusi la Shirikisho la Marekani.
Ilianzishwa July 26 1908,Inakadiliwa Kuwa na Wafanyakazi Takribani 35,000 na Bajeti yake kwa mwaka ni
US$9,748,829,000. https://t.co/azEvACoF0e
FBI NA CIA yote ni Kama Mashirika Ya Kujasusi, lakini Tofauti Iliyopo Ni Kwamba,
FBI imejikita katika masuala ya kipelelezi yanayoihusu Marekani Kama Taifa lakini (Domestically) ila CIA ipo Ki Dunia Zaidi.
FBI inafanya kazi chini Ya Idara Ya Masuala Ya Haki Ya Marekani .
Is it ok kusema fbi ndio equivalent to dci office yetu?
 
We jamaa ni mbishi wakati hakuna unachojua, umeangalia sana series mpaka umevurugwa.

Umeshaambiwa FBI wana kazi mbili Domestic Intelligence Service na Principal Law Enforcement Agency. Kwenye role ya pili wanafanya kazi kama police wa Federal Goverment ili kudeal na Federal Crimes, kwa hiyo ni sahihi kusema FBI wanafanana na CID linapokuja swala la upelelezi wa makosa ya jinai, na wanafanana na TISS linapokuja swala la ujasusi wa ndani; wao ndio wanafanya CounterIntelligence na mambo kama hayo; ukisikia kuna spy ring ya Wachina au Russia imevurugwa ujue ni kazi ya FBI, na wanafanana na PCCCB linapokuja swala la rushwa.

Inawezekana hata mfumo wa Law Enforcement wa US hufahamu ukoje.
Hivi labda nikwambie tu Tanzania Intelligence and Security Service maana yake unaelewa au unaongea tu........security service imesimama kwa upelelezi ndani ya nchi halafu intelligence service utamalizia mwenyewe.
Basi endelea na upumbavu wako FBI ni sawa CID......na hata unavyozungumzia hizo Illegal Programs sio kwamba hatujui sema unataka uonekane unajua kumbe kawaida ty
 
Ngoja nikuulize maswali dogo. Mtu akifanya federal crime Marekani, ni idara gani inafanya uchunguzi? Na mtu akifanya kosa la jinai Tanzania ni idara gani inafanya uchunguzi?
 
Ngoja nikuulize maswali dogo. Mtu akifanya federal crime Marekani, ni idara gani inafanya uchunguzi? Na mtu akifanya kosa la jinai Tanzania ni idara gani inafanya uchunguzi?
Ninaweza nikawa dogo lakn nikakuzidi uelewa......usiniulize mm kafuatilie ndo uje hapa.
Siku nyingine usije na viterminology vyako sijui spy ring ukadhani hatujui.
 
Ninaweza nikawa dogo lakn nikakuzidi uelewa......usiniulize mm kafuatilie ndo uje hapa.
Siku nyingine usije na viterminology vyako sijui spy ring ukadhani hatujui.
Sijasema dogo ya umri, nimesema dogo ya swali. Tupo hapa kujifunza, we jibu tu. Nani ana wajibu wa kuchunguza federal crimes in US na nani ana wajibu wa kuchunguza makosa ya jinai Tanzania?
 
Ngoja nikuulize maswali dogo. Mtu akifanya federal crime Marekani, ni idara gani inafanya uchunguzi? Na mtu akifanya kosa la jinai Tanzania ni idara gani inafanya uchunguzi?
Na kwa taarifa yako Illegal Program mojawapo FBI waliiterminate ni ile ya kina Anya Kushchenko ambaye alikuwa na spy ring hadi Cyprus....... alikuwa akitaka kujipenyeza lengo kuwafikia watunga sera wa marekani ili iwe rahisi kupata taarifa za marekani na kutuma Russia
 
Sijasema dogo ya umri, nimesema dogo ya swali. Tupo hapa kujifunza, we jibu tu. Nani ana wajibu wa kuchunguza federal crimes in US na nani ana wajibu wa kuchunguza makosa ya jinai Tanzania?
Hasa nikujibu nn hapo mm mbona maswali ya kitoto hayo.....
 
Uko sahihi kwenye FBI
maneno jasusi na upelelezi unayatumia vibaya.

FBI siyo shirika la ujasusi bali ni ofisi inayoshughulika na upelelezi wa makosa ya jinai ndani ya Marekani; ni kama CID hauku kwetu. Wako mbele kidogo zaid ya CID, kwani wanafanya upelelezi wa makosa yaliyokwisha fanyika, na vile vile kufanya upepelezi wa kuzuia makosa yasifanyike. Huwa hawafanyi ujasusi wa ki-James-Bond kama wa CIA bali wanapeleleza na kukusanya ushahidi pamoja na mashahidi. Ushahdi wanaokusanya lazima uwe sahihi kwa sababu baadaye utapimwa na mahakama.

CIA siyo shrika la upelelezi bali ni ofisi ya ujasusi inayoshughulika na mambo yote ya ujasusi nchi za nje ikiwa ni kupata habazi za usalama kijasusi, kufanya sabotage kwa maadui kijasusi na kadhalika. CIA haifanyi kazi ndani ya Marekani. Huwa hawapelelezi bali hufuatilia na kukusanya taarifa wanazoona ni za muhimu kwa usalama na malengo ya Marekani. Habari hizo zinaweza zisiwe sahihi kwani hakuna kipimo cha kuzithibistiha.
 
Dah umenichekesha eti FBI wanamvisha waya mtu akachunguze duh hapa inadhihirisha kwamba wewe ni kiazi.......usikariri kwenye masuala ya investigations hamna formula acha kutuongopea kuna techniques na tactics mbalimbali
Unajifanya unajua FBI na CIA wakati hata huji wanavyofanya kazi iwapo unashangaa kusikia kuwa wanatumia moles "waliovikwa waya"; kama hujui kabisa maana ya term "kuvikwa waya" basi usijadili mambo ya FBI hapa. Nadhani uliposoma phrase hiyo wewe ukadhani ni kumfunga mtu waya za umeme! Kwa ufupi nim kuwa kumvika mtu waya ni kumpa kifaa kidogo cha kunasa sauti ambacho kinapeleka maongezi yao moja kwa moja kwa afisa wa FBI ambaye atayarekodi. Hiyo ndiyo maana ya kuvika waya; kifaa chenyewe ni wireless siyo waya wa umeme.

Wewe kutokujua mambo isiwe tatizo kwa wengine; yaani hata huwezi kujiuliza kwa nini watu wengi hapa wanakupinga.

Kwa vile wewe ni mtizamaji wa show za kwenye TV, ni afadhali utumie muda wako kuangalia documentaries za FBI Files kuliko hizo show za Hollywood unazoleta hapa. Channel ya FBI files ni hii hapa chini; utaangalia kjesi nyuing sana za FBI ambazo zimeshakuwa declassified kuona jinsi wanavyofanya kazi ya kuzuia na kuchunguza uhalifu.

Back
Top Bottom