Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Mungu ndiyo atamhukumu na siyo wewe wala yule. Umchinje mwenzako kisa kachoma Biblia, je, wewe ni mwema sana kuliko aliyechoma? Huyo Mungu unayempigania anahitaji usaidizi wako? Mungu anajipigania mwenyewe.Hamna uchungu na kitabu chenu ni kama mtu kachoma gazeti
Mungu hakai kwenye Biblia bali yale ni mafundisho tu. Mungu anakaa kwa mtu mcha Mungu na kutii amri zake.Hamtetereki Kwa sababu Hamna Uhakika Na Dini Yenu Na Kitabu chenu Pia
Kila Siku mitume Wanyakyusa Wanaongezeka Na Mnawafuata wanawapiga Hela,Kila siku Version Mpya Za Biblia Zinaongezeka,Muda Si mrefu LGBT Itaongezwa kwenye Biblia.
Sisi tuna Uhakika Na Pepo Na dini Yetu Pia Ndo Maana Tunapandwa na Mizuka Kitabu cha Allah Kinapoteketezwa.
All in All Wanateketeza Copy za Quran Walizonunua kwa pesa zao Ila Quran Yetu katu Haiwezi Potea wala Kubadirika.
Tangu kuumbwa kwa dunia mpaka sasa hakuna kitabu chochote kilichoteremshwa. Hapo umepigwa na kitu kizito kichwaniElewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Nyinyi watu ktk Ulimwengu huu wa internet msifikiri mtaendelea kudanganya watu. Qur'an imebadilishwa mno. Quran wanayotumia Morocco, Algeria ni tofauti na Saudia. Wewe unajua kuwa Kuna versions 32 tofauti? Wewe unajua kuwa Kuna Hafs Quran na Khalaf Qur'an na zinatofautiana?Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Unajua kuwa mchakato wa kuandika Qur'an uligubikwa na utata mkubwa? Mtume alimuamini sana Abdullah Ibn Masoud na akaagiza watu wakifunze Quran Toka kwake.Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Sasa kwa nini inachomwa na kuchanwa na yeye mwenyewe yupo tu hailindi?Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
imani yako ndio inakutuma uongee hivyo au ukweli ndivyo ulivyo?Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Ilishalindwa Quran,Ina Miaka 1400 Haijabadilika,Wamechoma copy tu tena Walizozichapisha Wao wenyeweSasa kwa nini inachomwa na kuchanwa na yeye mwenyewe yupo tu hailindi?
Nyie ndio mnakazana kuilinda.. mara mtake kumuua, mara muandamane...
Yeye Alah anayeilinda mbona yuko kimya?
Sasa kama mnajua wamechoma kopi tu mnapiga mayowe ya nini?Ilishalindwa Quran,Ina Miaka 1400 Haijabadilika,Wamechoma copy tu tena Walizozichapisha Wao wenyewe
FaizaFoxyKwa tabia hii kweli wataacha kuchoma Quran?