Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Mungu ndiyo atamhukumu na siyo wewe wala yule. Umchinje mwenzako kisa kachoma Biblia, je, wewe ni mwema sana kuliko aliyechoma? Huyo Mungu unayempigania anahitaji usaidizi wako? Mungu anajipigania mwenyewe.Hamna uchungu na kitabu chenu ni kama mtu kachoma gazeti