Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Hamna uchungu na kitabu chenu ni kama mtu kachoma gazeti
Mungu ndiyo atamhukumu na siyo wewe wala yule. Umchinje mwenzako kisa kachoma Biblia, je, wewe ni mwema sana kuliko aliyechoma? Huyo Mungu unayempigania anahitaji usaidizi wako? Mungu anajipigania mwenyewe.
 
Hamtetereki Kwa sababu Hamna Uhakika Na Dini Yenu Na Kitabu chenu Pia
Kila Siku mitume Wanyakyusa Wanaongezeka Na Mnawafuata wanawapiga Hela,Kila siku Version Mpya Za Biblia Zinaongezeka,Muda Si mrefu LGBT Itaongezwa kwenye Biblia.

Sisi tuna Uhakika Na Pepo Na dini Yetu Pia Ndo Maana Tunapandwa na Mizuka Kitabu cha Allah Kinapoteketezwa.
All in All Wanateketeza Copy za Quran Walizonunua kwa pesa zao Ila Quran Yetu katu Haiwezi Potea wala Kubadirika.
Mungu hakai kwenye Biblia bali yale ni mafundisho tu. Mungu anakaa kwa mtu mcha Mungu na kutii amri zake.
Mungu wa wakristo hapiganiwi, mwenye nguvu na anahukumu mwenyewe ndiyo maana kila siku madhehebu ni mengi na wengine wanafungisha mashoga kwasababu Mungu ndiyo atawahukumu. Yule mwanamke kahaba, wanaume walimjia wakitaka kumpiga mawe. Yesu akasema ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumrushia mawe? Hakuna aliyemrushia mawe
Wao wafanye wanavyotaka kumbuka Sodoma na Gomora zilikuwepo ila mwisho ziliangamizwa na Mungu mwenyewe na siyo binadamu.
 
Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Tangu kuumbwa kwa dunia mpaka sasa hakuna kitabu chochote kilichoteremshwa. Hapo umepigwa na kitu kizito kichwani
 
Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Nyinyi watu ktk Ulimwengu huu wa internet msifikiri mtaendelea kudanganya watu. Qur'an imebadilishwa mno. Quran wanayotumia Morocco, Algeria ni tofauti na Saudia. Wewe unajua kuwa Kuna versions 32 tofauti? Wewe unajua kuwa Kuna Hafs Quran na Khalaf Qur'an na zinatofautiana?
Mfano Q 37:12 Hafs version inatimia Neno la Kiarabu "Ajebta" = You hivyo Aya inasema "BUT you (Mohammad) wonder, while they mock"
Wakati Khalaf version inatimia Neno la Kiarabu"Ajepto"=I (Allah) hivyo Aya inasema"But I (Allah) wonder, while they mock. Na Kuna maeneo mengi tu hizi Quran zinatofautiana

Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Unajua kuwa mchakato wa kuandika Qur'an uligubikwa na utata mkubwa? Mtume alimuamini sana Abdullah Ibn Masoud na akaagiza watu wakifunze Quran Toka kwake.
Alipokufa, Uthman akaagiza Zaid azunguke kila mahali atafute sehemu za Quran ili yeye Uthman aandike Quran. Ibn Masoud aliposikia hiyo, aliwakataza watu wasiwape akina Uthman na Zaid Quran zao.
Mara Uthman alipoandika Quran yake zile Quran nyingine alizichoma.
SASA KULE YEMEN ILIPAYOKAMA QURAN ambapo baada ya kutazsmwa vizuri ilikutwa kuwa ilikutwa Quran iliyoandikwa kwenye NGOZI, ambapo uchunguzi unaonyesha aliyeamdika alifuta Quran ya awali kwenye hiyo NGOZI na kuandika juu yake. Vifaa vya kisasa vimeweza kujua na kusoma Quran ya awali. Quran hiyo ya awali imekutikana kuwa Iko tofauti na Quran ya sasa (Uthmanic Quran). Hii Inaonyesha kuwa kumbe akina Ibn Masoud walifanikiwa kufichua Quran zao na zilikuwa tofauti na Quran ya Uthman.
Kwenye hii video peleka mpaka 1:56:40 uanzie hapo uone Sheikh Shabbir Ally anavyokiri kuwa Quran haikuwa perfectly preserved

Elewa Ayah,
Quran Haijateremshwa na Wanadamu,Mungu Kaiteremsha Na Yeye Ndo Mwenye Kuilinda.
Ndo Maana Mpaka sasa Hakuna Neno/herufi Hata Moja iliyobadilishwa au Kuongezwa Tangu Quran ishushwe,Huko Ndo kulindwa Kwenyewe.
Sasa kwa nini inachomwa na kuchanwa na yeye mwenyewe yupo tu hailindi?

Nyie ndio mnakazana kuilinda.. mara mtake kumuua, mara muandamane...

Yeye Alah anayeilinda mbona yuko kimya?
 
imani yako ndio inakutuma uongee hivyo au ukweli ndivyo ulivyo?
 
Sasa kwa nini inachomwa na kuchanwa na yeye mwenyewe yupo tu hailindi?

Nyie ndio mnakazana kuilinda.. mara mtake kumuua, mara muandamane...

Yeye Alah anayeilinda mbona yuko kimya?
Ilishalindwa Quran,Ina Miaka 1400 Haijabadilika,Wamechoma copy tu tena Walizozichapisha Wao wenyewe
 
Na bado wanajilipua kupata asylum huko Europe, nasikia wanazaa watoto 20 ili waje wawe wengi watawale Europe na kuifanya iwe islamic state, mmekimbia kwenu sasa mnataka kuleta culture ambazo ndio zimewakimbiza na kuwafanya wakimbizi, akili fupi sana hizi, ila usicheze na mzungu watoto wakianza shule lazima walishwe kitimoto wakirudi nyumbani wameshiba, then free speech and individual freedom na haki ya kuchagua and you can be anything you want 😅 , mzee ukileta zako za madrasa mtoto hakawii kukuitia police
 
Kwa tabia hii kweli wataacha kuchoma Quran?
 
Back
Top Bottom