Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

siku zote huwa najiuliza hivi huyu mungu anayehitaji msaada wa wanadamu wampiganie, wamtetee, ni mungu mwenye nguvu kweli? unaaminije kitu ambacho kinakutegemea ukipiganie na kukitetea? upofu kitu kibaya sana. binafsi mimi Mungu wangu, hata ufanyeje sihitaji kumpigania au kumtetea, yeye anazo nguvu za kutosha kujitetea hahitaji msaada wa mwanadamu. angehitaji msaada wa mwanadamu kutetewa ningeona ni mungu sawa tu na sisi na hapangekuwa na haja ya kumwabudu mtu aliye sawa na wewe.
Samahani, huna uwezo wa kiakili hara punje kuelewa hekma iliyopo hapo. Nashauri jadili vifungu vingine labda na kama havipo basi tafadhali turudi kwny mada tunazoziweza.............Kanyea popo, kumtusi jk n.k
 
Kwanini uichome biblia ?!!!

Ikiwa kuchoma bendera ni kosa kimataifa....

Ikiwa kuchoma katiba ya nchi ni kosa kisheria....

Kwanini atokee mtu akichome kitabu cha Talmud ili kuamsha "sentiments" za wengine?!!![emoji15][emoji15]

Kwani wakiambiana wazichome hizo Quran "in closets" ama majumbani mwao kuna atakayelalamika ?!!!

Hivi mnakusanyana hadharani na kurushwa mitandaoni mkizichoma biblia ambazomngeweza kuzichoma ndani ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Halafu unafanya "generalization"....unawasemea wakristo wote duniani?!!!

Yaani uchome kitabu kitakatifu hadharani halafu wakristo wote duniani wakae kimya....mzee unatudanganya [emoji1787][emoji1787]

Wacha hata kuchoma Biblia, tumeshuhudia Wakristo wakichinjwa na waislamu kisa imani, bus linatekwa Garissa, abiria asiye muislamu anachinjwa, haya matukio yalishatabiriwa, ni Mkristo asiyesoma Biblia ndiye atashangaa maana siku zinakuja tutashuhudia mengi.
 
Kwa hiyo mkenya wewe kwa sababu raia wenzako walichinjwa na "magaidi" huko Garissa leo hii kila muislam duniani anahusika na unyama na upumbavu huo uliofanywa na Al Shabab kufikia kustahili kuchomewa kitabu chao cha Imani kwa kebehi na dharau ?!!! [emoji15][emoji1787]

Hii si "generalization" na "hatred" dhidi ya wasio wa imani yako ?!!!

Nani amepinga kuwa hakuna "magaidi walio waislam"?!!!
 
WANADAMU SIKU ZOTE HUWA ANATABU SANA KATIKA HUU ULIMWENGU.

MUNGU MWENYEZI NI MWINGI WA REHEMA NA NEEMA SIKU ZOTE. HUTUSAMEHE MAKOSA YETU KWA KUSUDIA AMA BAHATI MBAYA.

BASI ENYI WANA WA ADAMU IKUMBUKWE SAA IKARIBU KUFIKIA TAMATI KATIKA ULIMWENGU SAA YA HUKUMU INAKARIBIA.

SHAYTAN YUPO KAZINI KUKAMILISHA KUSUDI LAKE.
 
MWAFRIKA, MWARABU, MCHINA, MZUNGU, MHINDI, HAWA NI JAMII YA WATU TOFAUTI ULIMWENGUNI BASI MUNGU MWENYEZI HUPENDA KUTUONA TUKIISHI VYEMA TUKIMWABUDU BILA KUJALI KABILA, DINI, LUGHA, TAMADUNI.

MUNGU MWENYEZI NI MMOJA TU KWA WATU WOTE MWANZO NA MWISHO.

KAMWE KATIKA MAISHA YAKO USIMJARIBU MUNGU MWENYEZI.

NAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA YA AL HAJJ.
 
Kwa hiyo mkenya wewe kwa sababu raia wenzako walichinjwa na "magaidi" huko Garissa leo hii kila muislam duniani anahusika na unyama na upumbavu huo uliofanywa na Al Shabab kufikia kustahili kuchomewa kitabu chao cha Imani kwa kebehi na dharau ?!!! [emoji15][emoji1787]

Hii si "generalization" na "hatred" dhidi ya wasio wa imani yako ?!!!

Nani amepinga kuwa hakuna "magaidi walio waislam"?!!!

Sio Wakenya tu, huo uzombi wenu wa kuchinja Wakristo upo kote duniani, tunasoma matukio yenu kila siku na hatushangazwi maana yametabiriwa, huwa mumeamrishwa kabisa na kurani hiyo hiyo ambayo Sweden wanaichoma, pitia haya maagizo yenu

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.

Soma zaidi.

Kumbuka pia Januari mwaka huu tukio la kuchoma Quran lilifanyika Sweden.
Mahakama imefanya jambo la maana sana, maana Uislam kila unavyoufanyia vitimbi ndiyo unausambaza vizuri sana.

Inaitwa "free publicity".
 
siku zote huwa najiuliza hivi huyu mungu anayehitaji msaada wa wanadamu wampiganie, wamtetee, ni mungu mwenye nguvu kweli? unaaminije kitu ambacho kinakutegemea ukipiganie na kukitetea? upofu kitu kibaya sana. binafsi mimi Mungu wangu, hata ufanyeje sihitaji kumpigania au kumtetea, yeye anazo nguvu za kutosha kujitetea hahitaji msaada wa mwanadamu. angehitaji msaada wa mwanadamu kutetewa ningeona ni mungu sawa tu na sisi na hapangekuwa na haja ya kumwabudu mtu aliye sawa na wewe.
Mungu hayupo mkuu, hizi nyingine stories za watu tu.
 
15:9 Quran

إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا ٱلذِّكۡرَ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ
Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu(Quran), na hakika Sisi ndio tutao ulinda.
Waliiteremsha wangapi... Sio Allah tena....
 
15:9 Quran

إِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا ٱلذِّكۡرَ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ
Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu(Quran), na hakika Sisi ndio tutao ulinda.
Vatican 🇻🇦 is very powerful
 
Back
Top Bottom