FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kijana hutaki nisali? Nalala saa tano ya usiku, naamka saa 9, nasali narudi kulala mpaka ntapoamka.Wewe bibi jiandae ulale. Hizo nati za ubongo zimeanza kulegea. Kulala kwa muda mrefu kunaweza kuongeza afya ya akili.
Saa mbili ya usiku, ukilala mpaka asubuhi una uhakika wa walau masaa 9.
Nilale mapema yote hii na leo Eid. Unanchekesha. Hivi natazama TV Live watu wapo Muzdalifa huko wameshaanza kusali na kuondoka, wakamlambe mawe shetani.