Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mtani upo ndugu yangu🤣🤣🤣🤣🤣 tusalimiane @ Mkunazi Njiwa : Kuna kisa kilitokea biblia zilichomwa kule jakrata Indonesia malundo kwa malundo na sababu ilikua ndogo tu ya makosa ya kiuandishi na baadhi ya makanisa yakabimolewa.Na hakuna aliyelalamika,au hujui hiyo incident?????? Mm ni mtafiti wa dini za binadamu,na kisaikolojia nadhani misingi ya dini ys ukrsto imejengwa kwa kutolalamika wala kuitetea au kuipigania dini yao.Na uislamu umejengwa katika imani wanayoita kupigania dini kwa mitazamo binafsi mfano mzuri hicho kikundi cha Al shabab au Talban.Wakrsto wao wapo kiroho sana kuliko kimwili ndio maana hawana masharti mengi ya kimwili na waislamu wapo kiroho na kimwili ndio maana wana masharti mengi ya kimwili.Maoni yangu ndio hayo mkuu kama mtafiti wa dini za wanadamu.Kwanini uichome biblia ?!!!
Ikiwa kuchoma bendera ni kosa kimataifa....
Ikiwa kuchoma katiba ya nchi ni kosa kisheria....
Kwanini atokee mtu akichome kitabu cha Talmud ili kuamsha "sentiments" za wengine?!!![emoji15][emoji15]
Kwani wakiambiana wazichome hizo Quran "in closets" ama majumbani mwao kuna atakayelalamika ?!!!
Hivi mnakusanyana hadharani na kurushwa mitandaoni mkizichoma biblia ambazomngeweza kuzichoma ndani ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Halafu unafanya "generalization"....unawasemea wakristo wote duniani?!!!
Yaani uchome kitabu kitakatifu hadharani halafu wakristo wote duniani wakae kimya....mzee unatudanganya [emoji1787][emoji1787]