Humu JF watu wengi wanakusufia sana Mangi, nasikia "you are very good and humble person" ila kwa hilo umetokota. Umejuaje waliochoma hiyo quran ni wakristo? Je ni kama waislam wenzao au mafreemasons au wapagani?
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.
=======
Soma zaidi.
Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of the Muslim holiday of Eid al-Adha.
The man who had requested permission for the action, a 30-year-old Iraqi refugee who wants the book banned, tore out pages from the Quran, wiped them on his shoe and set some of them on fire, Swedish public broadcaster SVT said.
Around 200 people gathered to watch, including counterprotesters. One man was detained after he tried to throw a rock.
Permission was given by a court on Wednesday. Sweden rarely bans protests, even ones that might be considered forms of incitement in other countries. The burning of the Islamic religious book took place during Eid al-Adha, one of the holiest days of the year for Muslims.
The book burning may further jeopardize Sweden's attempts to overcome Turkey's opposition to its NATO membership bid. Turkish President Recep Tayyip Erdogan responded to a previous Quran burning by saying Sweden should not join the alliance.
Turkish Foreign Minister Hakan Fidan condemned the act in a tweet.
What did Swedish authorities say?
The court had said that there must be a clear connection between security problems and the planned gathering. Police deemed this to not be the case, according to Swedish broadcaster TV4.
"The security risks and consequences that the authorities can see connected to a Quran burning are not of such a nature that according to the current law they give grounds for a decision to reject a request for a general gathering," the court said.
"Police authorities, therefore, give you permission for the requested gathering," it added.
Morocco withdraws envoy
In response to the incident, Morocco withdrew its ambassador to Sweden on Wednesday for an indefinite period.
Morocco's Foreign Ministry also summoned Sweden's charge d'affaires in Rabat and expressed the kingdom's "strong condemnation of this attack and its rejection of this unacceptable act," the state news agency reported.
Sweden's book-burning problems
The burning of the Quran has become a mainstay of far-right extremists in Sweden, with Danish-Swedish far-right politician Rasmus Paludan having made a name for himself with such acts. But Paludan was not behind Wednesday's action.
Although Sweden rarely bans protests, or book burnings, a planned anti-NATO demonstration that would have also included a Quran-burning rally, was blocked by Swedish police in February.
Before that, far-right extremists had burned a Quran outside the Turkish embassy. This led to Turkey canceling a visit by Sweden's defense minister to Ankara, and President Erdogan saying Sweden can not count on Turkey's support.
DW
Kumbuka pia Januari mwaka huu tukio la kuchoma Quran lilifanyika Sweden.
Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki. Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
Hapo waislamu wametengenezewa bomu ili liwalipukie sababu wanajua ni watu wa kulipuka.
Wakristo hata uchome Biblia wanakupuuza tu hawaingii mkenge wa wajinga.
Kuchoma kitabu Sio kuchoma maandiko
Lengo lao ni kuwafukuza waislam nchini waondoke, hasa wahamiaji toka mashariki ya kati!! Wanatumia lugha ya matendo. Waswahili husema akufukuzae hakuambii ondoka!! Ila cha ajabu ni kwamba wakimbizi wa kiislam huwa wanapendelea kukimbilia nchi za wawaitao "makafir"! Yaani benyan mbaya kiatu chake dawa!! Hutawaona wanakimbilia Pakistan au Indonesia au Saudi Arabia!! Ninauliza kwa nini??
Humu JF watu wengi wanakusufia sana Mangi, nasikia "you are very good and humble person" ila kwa hilo umetokota. Umejuaje waliochoma hiyo quran ni wakristo? Je ni kama waislam wenzao au mafreemasons au wapagani?
Siku zote huwa najiuliza hivi huyu mungu anayehitaji msaada wa wanadamu wampiganie, wamtetee, ni mungu mwenye nguvu kweli? Unaaminije kitu ambacho kinakutegemea ukipiganie na kukitetea? Upofu kitu kibaya sana.
Binafsi mimi Mungu wangu, hata ufanyeje sihitaji kumpigania au kumtetea, yeye anazo nguvu za kutosha kujitetea hahitaji msaada wa mwanadamu. angehitaji msaada wa mwanadamu kutetewa ningeona ni mungu sawa tu na sisi na hapangekuwa na haja ya kumwabudu mtu aliye sawa na wewe.
Kama watu wangechoma bendera ya mashoga ya upinde wa mvua, saa hii tungekuwa tunaongea mengine!! Mataifa yote ya magharibi yakiongozwa na Marekani yangelaani sana!! Na hiyo nchi kulikochomwa hiyo bendera itawekewa vikwazo usipime!!
Allah ni kiarabu,wewe mswahili unamuitaje kwa kiswahili?
Nways,sijui ni makosa ya kiuandishi au ni makusudi kuendeleza ushabiki wa kidini usio na maana,ni "Mungu" na si "mungu" kama ulivyoandika!
Nways,tukio hilo la huko Sweeden haliwezi kufanywa na watu waliostaarabika!
Allah ni kiarabu,wewe mswahili unamuitaje kwa kiswahili?
Nways,sijui ni makosa ya kiuandishi au ni makusudi kuendeleza ushabiki wa kidini usio na maana,ni "Mungu" na si "mungu" kama ulivyoandika!
Nways,tukio hilo la huko Sweeden haliwezi kufanywa na watu waliostaarabika!
17:110. Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.
Wapi Quran imeelekeza kuchinja na kudhulumu wasio na hatia ?!!!
Pamoja na Biblia kuwaelekeza wana wa Israel kuchinja waabudu miungu yasiyo Yahweh walipoingia Canaan ,wayahudi na wakristo hawajaifuta mistari hiyo ndani ya OLD TESTAMENT....ipo na tunaisoma....
Na ukisoma historia ya makundi ya fanaticism na extremetism wanaendelea kuyatumia.....rejea makundi ya KIBAGUZI na NATIONALISM huko ulaya na rejea Hitler na manazi wenzake dhidi ya wayahudi wasio na hatia.....
Hivi shule mnakwenda kusomea upumbavu ?!!! [emoji1787][emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.