Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Chuki mnaleta nyie wajinga, kwani huyo jamaa kakosea nini? kaona ni vyema afanye yeye sasa wewe unaumia nini? kazi ya hukumu ni ya Mungu braza ok
 
quran imewashinda maadui zake kwa HOJA NDO MAANA WANAICHUKIA.hauwezi kumkuta muislam akichoma biblia.maana anajua hicho kitabu hakina hoja za kumshinda.
Hapo na wewe ndio umepotea kabisa!
 
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm.

=======

Soma zaidi.

Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of the Muslim holiday of Eid al-Adha.

The man who had requested permission for the action, a 30-year-old Iraqi refugee who wants the book banned, tore out pages from the Quran, wiped them on his shoe and set some of them on fire, Swedish public broadcaster SVT said.

Around 200 people gathered to watch, including counterprotesters. One man was detained after he tried to throw a rock.

Permission was given by a court on Wednesday. Sweden rarely bans protests, even ones that might be considered forms of incitement in other countries. The burning of the Islamic religious book took place during Eid al-Adha, one of the holiest days of the year for Muslims.

The book burning may further jeopardize Sweden's attempts to overcome Turkey's opposition to its NATO membership bid. Turkish President Recep Tayyip Erdogan responded to a previous Quran burning by saying Sweden should not join the alliance.

Turkish Foreign Minister Hakan Fidan condemned the act in a tweet.
What did Swedish authorities say?

The court had said that there must be a clear connection between security problems and the planned gathering. Police deemed this to not be the case, according to Swedish broadcaster TV4.

"The security risks and consequences that the authorities can see connected to a Quran burning are not of such a nature that according to the current law they give grounds for a decision to reject a request for a general gathering," the court said.

"Police authorities, therefore, give you permission for the requested gathering," it added.
Morocco withdraws envoy

In response to the incident, Morocco withdrew its ambassador to Sweden on Wednesday for an indefinite period.

Morocco's Foreign Ministry also summoned Sweden's charge d'affaires in Rabat and expressed the kingdom's "strong condemnation of this attack and its rejection of this unacceptable act," the state news agency reported.
Sweden's book-burning problems

The burning of the Quran has become a mainstay of far-right extremists in Sweden, with Danish-Swedish far-right politician Rasmus Paludan having made a name for himself with such acts. But Paludan was not behind Wednesday's action.

Although Sweden rarely bans protests, or book burnings, a planned anti-NATO demonstration that would have also included a Quran-burning rally, was blocked by Swedish police in February.

Before that, far-right extremists had burned a Quran outside the Turkish embassy. This led to Turkey canceling a visit by Sweden's defense minister to Ankara, and President Erdogan saying Sweden can not count on Turkey's support.

DW


Kumbuka pia Januari mwaka huu tukio la kuchoma Quran lilifanyika Sweden.


Hizi unaweza kuzuia kila kitu Dunia hii? Kuna vichaa, watumia madawa ya kulevya, watoto, wapenda fujo......... kama Dunia nzima utakuwa unafuatilia kila wanaochoma vitabu badala ya kuangalia na kujali wewe na Mungu wako utakuwa na shida sana. Jali imani yako zaidi ya vitu. Hicho kitabu hujui kimetoka wapi au hata ni kweli kitabu au uzushi. Mtu anaweza kuchoma daftari akasema Quran utajuaje??
 
bibila ni kitabu kilichokuja baada ya yesu kuondoka duniani.hapo hapo biblia imechezewa maandiko yake.kuna aya wanafuta kuna aya wanaongeza
Ndio nakwambia na wewe unapotea!Ukishaamini dini yako inatosha,wa dini hiyo nayo wanaweza kukujibu hivyo hivyo!Mijadala ya imani haijawahi kuishia sehemu salama zaidi ya kila mtu kushika la kwake!So ka kujua hilo,wewe amini unachoamini na muache mwingine aamini anachoamini kisha mheshimiane kwa kila mtu anachoamini!
 
Hizi unaweza kuzuia kila kitu Dunia hii? Kuna vichaa, watumia madawa ya kulevya, watoto, wapenda fujo......... kama Dunia nzima utakuwa unafuatilia kila wanaochoma vitabu badala ya kuangalia na kujali wewe na Mungu wako utakuwa na shida sana. Jali imani yako zaidi ya vitu. Hicho kitabu hujui kimetoka wapi au hata ni kweli kitabu au uzushi. Mtu anaweza kuchoma daftari akasema Quran utajuaje??
Tatizo sio hilo,tatizo ni jambo hilo kuwa backed na mamlaka!Vichaa sawa tunajua wapo,issue ni kupewa airtime na uwanja wa kufanyia huo uvichaa wao!
 
Hakuna mwenye jeuri ya kumpangia mwenzake, unapaswa umhubirie huyo unayedhani amekengeuka lakini sio umlipukie mabomu kwamba wewe ndiye umekerwa kumzidi "mungu" wenu.
Yesu alibinua mezabza biashara hekaluni baada ya wayahudi kugeuza hekalu soko...mbona hakuwahubiria badala yake akachukia kuliko Mungu wake!?
 
Dini za kuletwa na Meli Africa zina changamoto zake , Hivi watu wote waliofariki Kabla ya dini kuletwa na Meli , wameenda mbinguni au jehanamu ¿??????.
Ungeuliza kwanza kabla ya kudhihaki ningekwambia QUR'AN inasema nini juu ya mtu ambaye ujumbe haukufika kwake
 
Mungu wetu ana nguvu sana.

mungu wao hana nguvu
Mungu wenu ana nguvu Sana Ila hawezi kuhubiri mwenyewe tumsikie tumfuate,badala yake mnarukwa mate kwenye majukwaa jua Kali kimuhubiri,na babu zako waliingia dini kwa kupewa masweta ya mitumba na peremende...kwa fikra zako hizo huyo Mungu hajiwezi,dhaifu
 
Mtani upo ndugu yangu🤣🤣🤣🤣🤣 tusalimiane @ Mkunazi Njiwa : Kuna kisa kilitokea biblia zilichomwa kule jakrata Indonesia malundo kwa malundo na sababu ilikua ndogo tu ya makosa ya kiuandishi na baadhi ya makanisa yakabimolewa.Na hakuna aliyelalamika,au hujui hiyo incident?????? Mm ni mtafiti wa dini za binadamu,na kisaikolojia nadhani misingi ya dini ys ukrsto imejengwa kwa kutolalamika wala kuitetea au kuipigania dini yao.Na uislamu umejengwa katika imani wanayoita kupigania dini kwa mitazamo binafsi mfano mzuri hicho kikundi cha Al shabab au Talban.Wakrsto wao wapo kiroho sana kuliko kimwili ndio maana hawana masharti mengi ya kimwili na waislamu wapo kiroho na kimwili ndio maana wana masharti mengi ya kimwili.Maoni yangu ndio hayo mkuu kama mtafiti wa dini za wanadamu.
Unavijua Vita vya msalaba!?
 
Kimsingi jikite kwenye kuwapa ukweli wao, mimi huwa nawapa maandiko yao wenyewe ambayo yapo kwenye vitabu vyao.
Yule babu yao alikua anagegeda katoto, ipo imeandikwa, alikua ananyonya ulimi wa mvulana, ipo imeandikwa, yaani maushetani mengi tu ambayo hawawezi kukana maana yameandikwa humo kwenye vitabu vyao.
Ukweli gani umewahi kuutoa we mbuzi!?
 
Hizo ni nchi za mashoga....

Zinawapinga wakristo wanaofuata maandiko....

Zinawapinga wayahudi.....

Zinawapinga waislamu....

Hao ni "atheists" tu [emoji1787][emoji1787]
Na hawa ndugu zetu kutoka nchi za kiislam ni wakati sasa wa kuwa na selection za oa kwenda. Mimi ni mkristo, hata ktk ukimbizi chaguo langi la kwanza haliwezi kuwa Iran au Pakistan au India ambako najua naenda kupata shida hasa ktk ku practice Imani yangu
 
Back
Top Bottom