Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Sasa nimeelewa why uturuki hataki Sweden awe mwanachama wa NATO.
 
MWAFRIKA, MWARABU, MCHINA, MZUNGU, MHINDI, HAWA NI JAMII YA WATU TOFAUTI ULIMWENGUNI BASI MUNGU MWENYEZI HUPENDA KUTUONA TUKIISHI VYEMA TUKIMWABUDU BILA KUJALI KABILA, DINI, LUGHA, TAMADUNI.

MUNGU MWENYEZI NI MMOJA TU KWA WATU WOTE MWANZO NA MWISHO.

KAMWE KATIKA MAISHA YAKO USIMJARIBU MUNGU MWENYEZI.

NAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA YA AL HAJJ.
Ila unafiki ni kitu kibaya sana .
Huwa mnapiga kelele humu MUISLAM NDUGU YAKE NI MUISLAM . Leo tena mnatuambia sisi sote ni kitu kimoja .

😂😂
 
Ila unafiki ni kitu kibaya sana .
Huwa mnapiga kelele humu MUISLAM NDUGU YAKE NI MUISLAM . Leo tena mnatuambia sisi sote ni kitu kimoja .

[emoji23][emoji23]
mwite yule mamaa wa DP WORLD FAIZA FOXY aje atoe ufafanuzi
 
Kijana hutaki nisali? Nalala saa tano ya usiku, naamka saa 9, nasali narudi kulala mpaka ntapoamka.

Nilale mapema yote hii na leo Eid. Unanchekesha. Hivi natazama TV Live watu wapo Muzdalifa huko wameshaanza kusali na kuondoka, wakamlambe mawe shetani.
Na vipi anapopigwa mawe huwa anakufa?
 
Mungu wa biblia ndiyo yupi!?

Hilo jina lako inamankusweke linaonyesha ulivyo, halafu sijui kwanini hiyo dini yenu imeendekeza ngono sana, hadi mtume wenu hakuona aibu kugegeda katoto ka miaka 9
 
Hamna uchungu na kitabu chenu ni kama mtu kachoma gazeti
Unakuaje na uchungu na kitabu mkuu? Weka imani kwenye kilichomo kwenye kitabu. Kitabu ni makaratasi tu.
Angalia watu wanavyofanya huko duniani. Hizi zilitupwa kwenye sawer system

images (1).jpeg
 
Hii inchi zinazounga mkono ushoga hizi Huwa zinashida Sanaa Sasa kitabu kimemkosea Nini?
Ulimnunulia hicho Kitabu .
Yaan ninunue kitu kwa pesa yangu . baadaye nkichome wewe uandamane ? Nan mwehu hapo.
 
Hilo jina lako inamankusweke linaonyesha ulivyo, halafu sijui kwanini hiyo dini yenu imeendekeza ngono sana, hadi mtume wenu hakuona aibu kugegeda katoto ka miaka 9
Ujerumani watu wanalikimbia kanisa katoliki kwa Malaki kwa mwaka,mwaka mmoja ulopita wamekimbia zaidi ya laki tano,kisa mapadre kulawiti watoto
 
Mahakama imefanya jambo la maana sana, maana Uislam kila unavyoufanyia vitimbi ndiyo unausambaza vizuri sana.

Inaitwa "free publicity".
Bibi kizee nilijuwa tu kuwa lxm uwepo ktk mjadal huu mfia dini kizee
 
Na vipi anapopigwa mawe huwa anakufa?
Nani anapigwa mawe? Au unaongelea sheria hii👇🏾

7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe;

Ndiyo hiyo👆🏾 kijana?
 
Bibi kizee nilijuwa tu kuwa lxm uwepo ktk mjadal huu mfia dini kizee
Kuna mjadala upi hapo, mtu anachoma Qur'an anatupa publicity, kwa mllango ya Allah.

Ana hasira na Uislam kuenea kwa mwendo kasi Ulaya.

Sisi wenyewe AlhamduliLlah ni Qur'an zinazotembea.

Unaelewa maana ya Qur'an zinazotembea?

Si unaona kama hivi unapata kujuwa misamiati ya Kiislaam. Ma shaa Allah.

Raha siyo raha?
 
Ujerumani watu wanalikimbia kanisa katoliki kwa Malaki kwa mwaka,mwaka mmoja ulopita wamekimbia zaidi ya laki tano,kisa mapadre kulawiti watoto

Wale mapadri hata sisi tunawalaani, hatuwatetei.... sasa nyie hapo huyo mtume wenu ambaye huwa kama mnamuabudu vile ila mnatetea maushetani yake ya kumuingilia mtoto wa miaka 9, mnaiweka kama kawaida....hakuishia hapo, alikua ana vituko vya ajabu, nilisoma sehemu alikua anapiga wavulana denda kwa kuwanyonya ulimi, uchafu wa hovyo sana huo...check hapa

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali,
 
mwite yule mamaa wa DP WORLD FAIZA FOXY aje atoe ufafanuzi
Umepitia uzi au umekurupuka tu?

Nimesem huyo anachofanya ni vizuri sana kwa Uislam Anatufanyia tangazo la bure kinaloenea dunia nzima kwa mwendo kasi.

Unaelewa hata unachonukuu!?..yaani nilimsikia fulani alisema kuwa Fulani alisema nanihii alimuiba Bata wa mk224,nawe unaamini na kutokwa mate ukitetea!?..nimekupa habari ya kanisa katoliki ujerumani kwa kuwa ulitushutumu waislam kupenda ngono,hao mapadre wanapenda nini!?..minduku ya watoto!?..ndo muelekeo wa ukiristo huo kwa kuwa hao ndiyo kielelezo kikuu Cha ukiristo
 
Tatizo sio hilo,tatizo ni jambo hilo kuwa backed na mamlaka!Vichaa sawa tunajua wapo,issue ni kupewa airtime na uwanja wa kufanyia huo uvichaa wao!

Bahati nzuri nimetoka ulaya wiki jana tu sio kweli mamlaka hazina muda wa kusimamia watu eti kuchoma vitabu! Tatizo hakuna jeshi linaloweza kuangalia vitendo vya kila mtu Dunia hii. Kuna watu wanakaa na kusubiri vitu vya kuwakasirisha kila siku.
 
Back
Top Bottom